Unawaza nini sasa hivi?

Unawaza nini sasa hivi?

Hapo ulipo unafikiria nini au unamfikiria nani? Unawaza kufanya nini? Ungependa kusikia nini moyo wako usuuzike, ufurahi!
Mimi ningependa niwe sehemu nzuri na mtu ninayempenda, sehemu iliyotulia anishike mkono tutembee wote, anikiss kiss yani nione dunia yangu, anishike kiuno, anibebe anione kama malkia

Unajua kuna watu ukikutana nao hujuti au ukiwa nao hujuti kabisa anakupa raha mwanzo mwisho, lakini kuna mwingine unaweza ujute hata kwanini umeonana nae ama nene

Basi mi nafikiria vitu vizuri vizuri tu au ningekuwa sehemu nakula bata na samsun Complex shunie ICHANA Nyani Ngabu na wengineo wengi hata wale wapekuzi au mapaparazi wa kujitegemea ningependa muwepo tu ili mtupige picha hivi na kutuwekea kumbukumbu au sio.

Basi tu ndio navyofikiria hivi acha nilale tu mie.
View attachment 402191 ujumbe wa usiku huu.
Hahaha
 
Nawazaaa....natamani ningekuwa on beautiful vacation right now,somewhere in Ibiza...au Hawaii.Just Chillin' and havin' soo much fun ... enjoying every second of the pleasure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom