Unawaza nini sasa hivi?

Unawaza nini sasa hivi?

nawaza tu wanaume wangetengewa dunia yao na siye tubaki wenyewe... tusionane kabisa.
 
Wala sina mawazo yoyote kwanza naweza nikampenda mwanamke kabla sijamwambia npotezea na simwambii tena na hapo hapo namchukia hadi nakuwa na hasira
Acha ubinafsi,jitoe
 
Tatizo hua nakuwa mkweli sana na uaminifu sasa ila nyie wanawake ni waongo sana ndo maana nimeamua kuwapotezea yaani nimeamua nifanye mambo yangu kwanza!!
Nawe uwe muongo ufate hali inavyokuwa haya maisha bila unafiki hayaendi
 
Nawaza yule jamaa niliyemporaga demu wake bora ningemuachia zigo lake, kwa maana lilikuja kunipa mateso sana huko mbeleni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom