mawazo yako yamenisuza moyo. najua ungewatia adabu mafedhuri wa jamhuri hii!Nawaza nikipata mashine AK47 na risasi kama 2000 na maguruneti kama 100 nitakachokifanya roho yangu itasuuzika kabisa
Yaani kwa huu uzi wako inaonyesha akili na mawazo yako kuwa unapenda sana kugegedwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hapo ulipo unafikiria nini au unamfikiria nani?unawaza kufanya nini,?ungependa kusikia nini moyo wako usuuzike ,ufurahi!!
Mim ningependa niwe sehemu nzuri na mtu ninaempenda ,sehemu iliyotulia anishike mkono tutembee wote ,anikiss kiss yaan nione dunia yangu ,anishike kiuno ,anibebe anione kama malkia [emoji8][emoji8]
Unajua kuna watu ukikutana nao hujuti au ukiwa nao hujuti kabisa anakupa raha mwanzo mwisho,lakin kuna mwingine unaweza ujute hata kwanini umeonana nae ama nene[emoji23]
Basi mi nafikiria vitu vizuri vizuri tu au ningekua sehemu nakula bata na samsun Complex shunie ICHANA Nyani Ngabu na wengineo wengiii hata wale wapekuzi au mapaparazi wa kujitegemea ningependa muwepo tu ili mtupige picha hivi na kutuwekea kumbukumbu au sio
Basi tu ndio navyofikiria hivii acha nilale tu mie
View attachment 402191 ujumbe wa usiku huu
Nampenda saana.....!Mwambie basi unampenda
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Sio kwamba anatafuta dudu?[emoji220] [emoji221] [emoji218]
Yesu wangu!! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] wee noma mi nawaza nitampata wapi wa kuanza nae maisha!!wee unawaza wa kukugegeda!!!duu!!haya bhana !!We hupendi kugegeda au ndio unafiki wa hali ya juu
Huyo wa kuanza nae maisha mtakua hamgegedani au,?sasa mi niwaze wa kuanza nae maisha wa nini?Yesu wangu!! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] wee noma mi nawaza nitampata wapi wa kuanza nae maisha!!wee unawaza wa kukugegeda!!!duu!!haya bhana !!
Huwezi amini sina mpaka sasa wa kugegedana nae najua hapa hutoamini!! Na kama huwezi amani kaa hivyo hivyo usiamini!!Huyo wa kuanza nae maisha mtakua hamgegedani au,?sasa mi niwaze wa kuanza nae maisha wa nini?