Unawaza nini sasa hivi?

Hapo ulipo unafikiria nini au unamfikiria nani? Unawaza kufanya nini? Ungependa kusikia nini moyo wako usuuzike, ufurahi!
Mimi ningependa niwe sehemu nzuri na mtu ninayempenda, sehemu iliyotulia anishike mkono tutembee wote, anikiss kiss yani nione dunia yangu, anishike kiuno, anibebe anione kama malkia

Unajua kuna watu ukikutana nao hujuti au ukiwa nao hujuti kabisa anakupa raha mwanzo mwisho, lakini kuna mwingine unaweza ujute hata kwanini umeonana nae ama nene

Basi mi nafikiria vitu vizuri vizuri tu au ningekuwa sehemu nakula bata na samsun Complex shunie ICHANA Nyani Ngabu na wengineo wengi hata wale wapekuzi au mapaparazi wa kujitegemea ningependa muwepo tu ili mtupige picha hivi na kutuwekea kumbukumbu au sio.

Basi tu ndio navyofikiria hivi acha nilale tu mie.
View attachment 402191 ujumbe wa usiku huu.

Inaonekana moyo wako unaupweke sana?
 
Na hatutaki tuishi kwa kutegemea support... Ingawa c dhambi kusaidiwA lakini lengo sio kusaidiwA baada ya kufanikiwa
 
Attachments

  • Hope-Quotes-60.jpg
    Hope-Quotes-60.jpg
    30.3 KB · Views: 35
Mimi hapa nawaza kuna shoe shiner mmoja ana chenji yangu jelo kesho ninavyoenda kanisani lazima nimpitie
mimi ndio shoe shine nawaza hii jelo huyu Lusajo asahau kuja kuipitia mimi nikaingilie taifa simba na majix2
 
[Verse 1]
Nataka nitoke kwenye Jamii Forum
Niuze sura!
Niseme ninatoka na Nifah
Kitandani kwisha na FaizaFoxy
Ama Jimena Nilete matata mpaka kwa Heaven Sent
Kwenye redio zote, mpaka runinga
Nitangaze kwa kuvimba
Kwamba Miss Neddy anayangu mimba
Au niwatukane wote Makapuku
Kwa dharau na kuvimba Mpaka yule anajiita asigwa !
Niseme miss chagga katetema
Akiniona anashindwa hata kuhema
Au cute b kanena ananitaka na ibra87
atatemwa
Nataka nifanye sinema Kwa alozaa na mito , King'asti
Kiki ipi iko njema, au niende kwa Sky Eclat ?
[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje? Mwenzenu ntokeje?
[Verse 2]
aaaaa aaaa eeee
Nasikia @Lara1 mkali, wanasemaga Valentina
asali
Dinazarde atakubali akimwage ki Nyani Ngabu chali
Ninatafakari, kichwani maswali
Nimtongoze atoto , akijua Kaboom si hatari?
Ee-hee, Preta , badiebey pia hadi na Evelyn
Salt
The Boss asije ninunia kwa brenda18 lawama jingalao , @Lizabon Salami leaders nizushe pesa
wamenipiga
mshana jr na MziziMkavu wasije niroga
Iyowee!
Nataka nibadili ratiba, kwangu isije leta msiba
Nitoke Makapuku niende kwa Le mutuz. Yoooo
[Chorus]
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje?
Ati ntokeje?
Mwenzenu ntokeje? [Outro]
Nataka nifanye masekere
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere (Sekere oh sekere)
Yaani Bongo nzima makelele
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere (Sekere oh sekere)
Iih! Nikinukishe kinoma noma
(Sekere oh sekere)
Sekere
(Sekere oh sekere)
Sekere (Sekere oh sekere)
Iih! Macho kuvimba wataisoma
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
(Sekere oh sekere)
Ta ntira rara
Aise najitolea kukudhamini huu wimbo chagua studio
 
Aiseee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom