Unawaza nini sasa hivi?

Unawaza nini sasa hivi?

Nakuwaza wewe huko uliko mwanza,kumbe yule jamaa humpendi,wanawake mna mambo sana nyie
 
Hapa nilipo kichwa kimejaa madufu Baba anaumwa sna, anatakiwa aende hospital. Sina ela ya matibabu family nayo ndo vile mkubwa ni mm.
 
Nawaza kama jje's atanipa upendo wa kina au tutaachana njiapanda kama Daby na LadyAJ
mhhhh y thinking of me that my honey, kuna mchepuko kashaingia nina wasiwasi. Nambie tu kama ndo umeamua hivyo cause siwez lazimisha penzi.

hihihihiiiiiii
 
mhhhh y thinking of me that my honey, kuna mchepuko kashaingia nina wasiwasi. Nambie tu kama ndo umeamua hivyo cause siwez lazimisha penzi.

hihihihiiiiiii
Mi nakupenda kwa dhati/ usinione kama vile mimi nachezaa/
Kwako mepata bakhati wala sintoichezea (sitoichezeaa)
Penzi lako siliwachi naliweka moyoni lisijepotea / nawala sitoi chance mwenginewe kuchukuaaa
.
wewe ndio unanifanya niwe nang'aa/ kila kona ya mtaa tukipita
Nikumbatie huku ukisema/ I love you baby sikwachi
 
huhuhuhuhuuuuuu i love you more bby
 
kutoroka kazini kwenda kulala, blue Monday is killing me
 
Kumalizia my New house ,,Pesa. Hakuna duu Nawaza saana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom