Unawaza nini sasa hivi?

Unawaza nini sasa hivi?

Mawazo yangu yapo pale kagera... Nawaza hapa mimi ndo naamka na kila kitu mteremko bila shida... Sasa wenzetu kule wanalala nje, chakula cha shida, bado wanaambiwa wasidhani maafa yameletwa na serikali... Sijui ningekua Mimi ninge jisikiaje?

Hospital nako huko kuna wenzetu wanapigania kurudi Ktk hali ya kawaida huku hakuna matumaini.. Duuh... Mawazo kibao
 
Ahahahahahaha

Usinicheke..... I was blinded by love, good looking, smartness, hard working, good moments we had, kuonesha akili yake ipo tofauti na ya wanawake wengine nk........ Lkn huko mbeleni nilichenjiwa hatari, mpaka nikaona dunia chungu,,,,, nikampigia simu kumuomba jamaa aje amchukue demu wake ila bahati mbaya jamaa akawa ashaoa zake huko. Teh
 
Yaan ndio ccm mbele kwa mbele
 
Hehehehe looo kwa hiyo bado upo nao tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom