Unawaomba radhi wageni kwa kuwakatia intaneti kwa siku 6 halafu wazalendo uliowaua hata majina yao unajifanya hauyajui!

Unawaomba radhi wageni kwa kuwakatia intaneti kwa siku 6 halafu wazalendo uliowaua hata majina yao unajifanya hauyajui!

Samia amechanganyikiwa anaropoka kama mtu anayekaribia kukata roho
 
Busara za kawaida [common sense] zinakataza kabisa kwa mtu mwenye akili timamu kuwaomba radhi watu ambao hakuwakosea chochote, lakini wale ambao kawaua, kawateka, kawatesa, kawafunga kwa kuwabambikia kesi, n.k., Kajinyamazia utadhani hakuna kitu kilichotokea!🥺🤔💪🏿
Sema twende mbele turudi nyuma hata makazini hizi situations zipo kukiri means umejishtaki mwenyewe labda angejiuuzulu kama ishara wa uwajibikaji nadhani ingekua imekaa sawa na angekua salama kwa kiasi flani, kukiri tutaongea tu but no one can do that hata ungekua wewe mkuu
 
Huyu ni psychopath halina mjadala, wanaonishangaza wanaomtetea na kumsifia hali zao za afya zikoje? Kumsapoti kichaa unatakiwa uitweje?

Halafu wanaume katika safu ya uongozi wa CCM wanaona hali ya taifa lilipofikia, na uongozi wa huyu psychopath wametuliza makende yao kweli? Ni uoga, upumbavu au maslahi?

Hapa nazungumzia profile ya akina Kikwete, Kinana, Makamba nk, siyo akina Stephen mengele na Mwijaku
 
Mnahangaika na mliyataka wenyewe ? Nyinyi si mlikuwa mkifurahia Zanzibar kuvamiwa na Tanganyika na mnashangilia na kuunga mkono mauwaji ya Wazanzibari na mateso kwa miaka. Na hamtaki huu uvamizi uvunjike.
Wazanzibari hawautaki huu mnaoita Muungano nyinyi hamwoni hamsikii. Sasa wacha muonje raha Za huu ujinga mnanoupenda
Nina wasiwasi na kiungo unachotumia kufikiria aisee, ya kwamba watanzania wanataka huu muungano?
Tanganyika inafaidika na nini kwa mvamizi kutoka Zanzibar kuja kututawala na kutuibia na kutuua?
Tunafaidika na nini na wazanzibari kuja kupata nafasi za uongozi huku wakati sisi hatuna nafasi hiyo Zanzibar?
Tunafaidika na nini wakati hatutuhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar wakati wazanzibari wanamiliki huku?

Kama kawaida yenu kejeli, usnitch kama mlivyofungua KESI ya kugawana mali za CHADEMA jaji akateuliwa mkurugenzi wa tume ya jecha akazuia CHADEMA isifanye siasa.

Kawaida yenu ukatili mauaji mshazoea, tafadhalini bado tunaendelea kuomboleza wanetu waliouliwa na butcher from kizimkazi
 
Hayo maswali yako ungalimuuliza Kikwete na genge lake waliojifanya kumpendekeza Samia na wajumbe wake waliojifanya kuunga mkono. Pia muulizie Kikwete kwa nini alileta jeshi akamteka jecha kulazimisha kufuta uchaguzi? Mwisho mbona sijakuona humu kuupinga huu uvamizi. Hivii Sasa wakati Samia anawatia vidole vya ...... Ndiyo unakasirika ?
 
Hayo maswali yako ungalimuuliza Kikwete na genge lake waliojifanya kumpendekeza Samia na wajumbe wake waliojifanya kuunga mkono. Pia muulizie Kikwete kwa nini aliletwa jeshi akamteka jecha kulazimisha uchaguzi? Mwisho mbona sijakuona humu kuupinga huu uvamizi. Hivii Sasa wakati Samia anawatia vidole vya ...... Ndiyo unakasirika ?
Tatizo la kutumia kinyeo kufikiria badala ya ubongo, mimi nina nasaba gani na Kikwete?
Tafuta post zangu zoote unionyeshe post yangu yeyote niliyomuunga mkono na CCM?
Jitahidi kushirikisha kichwa na kinywa chako siyo kinyeo na kinywa.

Unafurahishwa na mzanzibari mwenzio kuua watanganyika? Mauaji ya wapemba mwaka 2001 ukiona mtanganyika akisifia??

Angalia nimejiunga lini humu jamvini halafu unataka nipinge uvamizi upi na WA lini?
 
Hivi wapi nilikuambia una nasaba na Kikwete ? Kwani wewe hujafurahishwa na Watanganyika wenzako kuanzia Nyerere, Mkapa, Kikwete, Magufuli kwa kuuwa Wazanzibari ? Ni lini ulipinga huu uvamizi?
Sasa wasikilize hawa Wagalatia wenzako wanavyosema , uniambie ni Mtanganyika yupi aliyapinga haya maneno zaidi ya Lisu?

View: https://youtu.be/obOYhW6LJUI?si=UPOYrBLvxB4miKsq
 
Wakazikwa mkunduni kwako. Watu wapumbavu kama nyinyi na wendawazimu mnasitahili majibu kama haya. Senzi kabisa.
Sawa. Walikufa wangapi?wakazikwa wapi? Wale walipozikwa kondo ni kina nani?
 
Mnahangaika na mliyataka wenyewe ? Nyinyi si mlikuwa mkifurahia Zanzibar kuvamiwa na Tanganyika na mnashangilia na kuunga mkono mauwaji ya Wazanzibari na mateso kwa miaka. Na hamtaki huu uvamizi uvunjike.
Wazanzibari hawautaki huu mnaoita Muungano nyinyi hamwoni hamsikii. Sasa wacha muonje raha Za huu ujinga mnanoupenda
Raia gani wa Tanganyika anautaka huu muungano wewe? Wanaoutaka muungano ni viongozi wa CCM bara na visiwani kwani ni wanufaika. Kwa hiyo hata wazanzibari CCM wanautaka huu muungano ndio maana upo.
 
Hivi wapi nilikuambia una nasaba na Kikwete ? Kwani wewe hujafurahishwa na Watanganyika wenzako kuanzia Nyerere, Mkapa, Kikwete, Magufuli kwa kuuwa Wazanzibari ? Ni lini ulipinga huu uvamizi?
Sasa wasikilize hawa Wagalatia wenzako wanavyosema , uniambie ni Mtanganyika yupi aliyapinga haya maneno zaidi ya Lisu?

View: https://youtu.be/obOYhW6LJUI?si=UPOYrBLvxB4miKsq

Waama katika majuha bora utakuwa mmojawapo, na hii inadhihirisha upumbavu wa kizanzibar uliokujaa.

Adui mkubwa wa watanzania (hapa namaanisha pamoja na wazanzibari) ni mfumo unaolindwa na kufadhiliwa na CCM, maana hata huu muungano wa kijuha wa CCM. Kama wewe siyo chizi wapi nimewafurahia wajinga CCM? Ulivyo mpumbavu unataka kutafuta leverage ya kutetea mauaji ya Samia mzanzibari? Unatafuta legitimacy ya mauaji? Utakuwa mpumbavu bora wa msimu
Hapa tunadeal na juha wa kizanzibar hayawani. Hebu niambie kwanza nifahamu wapi mtanganyika aliyeua wazanzibari?

Pili mauaji ya wapemba 2001 nionyeshe mtanganyika yeyote aliyesifia na kupongeza mauaji Yale? Ni nani nikumbushe aliyesifia na kupongeza kama wewe unavyofurahia mauaji ya Samia kwa watanganyika?
 
Back
Top Bottom