Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 11,505
- 5,378
Huo mfumo wa CCM uko Tanganyika na ndio ulioleta uvamizi na kumuweka madarakani Karume baadaye mfumo huo ndio uliomwondosha Karume , Jumbe, akina Maalim Seif na wenzake. Mfumo huu ndio nyinyi wengi wa Tanganyika mlikuwa mkiupigia debe na mkiona mambo ni sawa tu.Waama katika majuha bora utakuwa mmojawapo, na hii inadhihirisha upumbavu wa kizanzibar uliokujaa.
Adui mkubwa wa watanzania (hapa namaanisha pamoja na wazanzibari) ni mfumo unaolindwa na kufadhiliwa na CCM, maana hata huu muungano wa kijuha wa CCM. Kama wewe siyo chizi wapi nimewafurahia wajinga CCM? Ulivyo mpumbavu unataka kutafuta leverage ya kutetea mauaji ya Samia mzanzibari? Unatafuta legitimacy ya mauaji? Utakuwa mpumbavu bora wa msimu
Hapa tunadeal na juha wa kizanzibar hayawani. Hebu niambie kwanza nifahamu wapi mtanganyika aliyeua wazanzibari?
Pili mauaji ya wapemba 2001 nionyeshe mtanganyika yeyote aliyesifia na kupongeza mauaji Yale? Ni nani nikumbushe aliyesifia na kupongeza kama wewe unavyofurahia mauaji ya Samia kwa watanganyika?
Yaani unaniuliza mtanganyika aliyeuwa wazanzibari yaani huelewi kuwa wanajeshi wa Tanganyika wako Zanzibar toka 1964. Na mwaka huo kwenye uvamizi waliuliwa waZanzibari zaidi ya elfu kumi. Na kuanzia wakati huo kila uchaguzi wanauliwa watu Zanzibar . Ndio nikakuambia wewe na Watanganyika wengi mnaupenda huu uvamizi na hamjali mateso tunayopitia Wazanzibari. Ni hivi sasa kwa Samia kuwa Raisi wa Muungano ndio mumekuja juu na hamsemi kuwa muungano uvunjwe .
Mtanganyika aliyesifia yale mauwaji ya 2001 ni Mkapa kwani aliwapa vyeo wale waliokuja kuuwa . Kwa taarifa yako Mahita ndiye alikuwa kinara wa yale mauwaji. Mkapa eti aliandika kujutia mauwaji lakini hakusema kuwa aliwapa vyeo wauwaji, mshenzi yule .
CCM ni Tanganyika na Makao makuu yapo Dodoma , CCM kutoka Zanzibar wakati wote huchagua kiongozi wao lakini Tanganyika wao ndio humweka kibaraka wao wanayemtaka kinyume na matakwa ya CCM Zanzibar. Mfano huyu Mwinyi hata katiba ya CCM haikufuatwa kumchagua . na hafai kwa mujibu wa katiba kugombea uraisi Zanzibar. lakini Tanganyika wamemweka kwa nguvu .