Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,873
I dunnoI laiki zisi. Sasa hapo akija mdau yupo siliasi na moyo umekudondokea haswa utamsaidiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa... na akishampata huyo mmoja haraka sana anarudi kuangalia kama wale 99 bado wako salama...Taan ni nature ya mwanaume tu if you read me. Ukimpa wanawake 100 kisha mmoja amponyoke atawaacha wale 99 walio himayani mwake kisha amfuate huyo mmoja
Cc Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa, na akimkosa anaongeza wengine watatu wapya!Ewaaa... na akishampata huyo mmoja haraka sana anarudi kuangalia kama wale 99 bado wako salama...
Ewaaaa....