Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
- Thread starter
- #21
Aligoma kunywa asee, jamaa aliumia mno, mpaka kamasihizo dawa altumia kwel mana inaonyesha maumivu ya mchepuko hayakuwa salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Aligoma kunywa asee, jamaa aliumia mno, mpaka kamasihizo dawa altumia kwel mana inaonyesha maumivu ya mchepuko hayakuwa salama
Moyo kiza kineneKah yani mke anakesha kuuguza kumbe limtu linapresha ya mchepuko[emoji3],Mungu amsaidie Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji79] [emoji79]Tusihukumu; hatujui alikiwa anapewa nini huko mchepukoni na pengine hakipati kwa mkewe!
Cc Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna michepuko tunajua kushauri kuliko wakezenuNimekumbuka kisa hiki kutoka kwa jamaa yangu wa karibu sana. Alioa na akapata watoto wawili. Alikuwa na kazi nzuri, lakini maisha yake hayakuwa mazuri. Mwanamke aliyemuoa hakuwa na msaada wowote, jamaa akipata pesa zote zinaishia kwenye ulevi yani mume mlevi na mke mlevi ndio yalikuwa maisha yao. Siku moja jamaa akaingia Bar kama kawaida yake leta moja baridi, moja moto kama bahati tu siku hiyo kakutana na mchepuko wakaanzisha mahusiano.
Mchepuko yule kumbe alikuwa very smart, alimshangaa sana jamaa kwa nini anapoteza pesa nyingi kwenye ulevi. Aisee jamaa yetu alikuwa hana hata kiwanja, lakini kama utani tu nguvu ya mchepuko ikamsukuma anunue kiwanja na akajenga mjengo wa maana. Mapenzi yakawa matamu, jamaa akaona kumbe utamu upo hapa akafunga ndoa na mchepuko sijui ilikuwaje baadae ila ndio anaishi nae mpaka leo. Kwa hivyo kuna michepuko mingine ina akili kuliko hata mwanamke uliyemtolea mahari.
Devi kamnyang'anya jamaa tonge mdomoni ambalo alikuwa bado analihitaji sana, ni haki yake kulia.
Wewe una-maakili hadi yanachuruzika.Tusihukumu; hatujui alikiwa anapewa nini huko mchepukoni na pengine hakipati kwa mkewe!
Cc Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama kaponyoka nyota wa mchezo,Taan ni nature ya mwanaume tu if you read me. Ukimpa wanawake 100 kisha mmoja amponyoke atawaacha wale 99 walio himayani mwake kisha amfuate huyo mmoja
Cc Asprin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi unatamani aje atoe twisheni kwa 'maiwaifu wako' Si eti ee?we Hujui tu kuna mchepuko anakuhudumia mpaka unaona bora mkeo akuache..
Kama nakutamani vile.Kuna michepuko tunajua kushauri kuliko wakezenu
Mtuoe tuu kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeumbiwa matetho thithi,Kah yani mke anakesha kuuguza kumbe limtu linapresha ya mchepuko[emoji3],Mungu amsaidie Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa. Ukiolewa na wewe unaanza kubweteka. Muwe mnatoa tuisheni kwa walioolewa sasa.Kuna michepuko tunajua kushauri kuliko wakezenu
Mtuoe tuu kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu ni hatari yaaniHadi unatamani aje atoe twisheni kwa 'maiwaifu wako' Si eti ee?
Siku unijie na stress zako za mchepuko hamna rangi utaacha ona.
Mmhh mengine mnajitakia, unaanzaje kulilia mchepuko mpaka unaumwa bana wakati mchepuko ni kiburudisho cha muda tu, sa mchepuko ukiolewa si atakufa kabisaTumeumbiwa matetho thithi,
Mthituone hivi.
Hahaha hakyamama wameshakuharibu mashemeji zakoSiku unijie na stress zako za mchepuko hamna rangi utaacha ona.
...Habari!
Mwezi wa 4, siku moja usiku wa saa nne nilipigiwa simu na mke wa mwanakwaya mmoja akidai mumewe kakamatwa na homa nikamuone. Basi nikapaki thermometer, rapid malaria test na Paracetamol kwa bag, nikakamata bajaj nikaenda kumuona mwana!
Nilipofika nilipokelewa na shemeji huku akinishukuru kwa kujali. Basi nikaingia sebuleni nikakuta yupo hoi. Nikamcheki mwana homa nikakuta ipo juu ila hakuwa na dalili za malaria. Nilipompima nikakuta yupo ok. Akanisihi nimpeleke hosp kwa further check up.
Njiani
Hapa ndo ikawa issue, akasisitiza twende kwangu tuongee kiume. Nikakataa ila akawa ananisihi sana.
Nyumbani
Mwana akaanza kunambia huku analia, "... nilishindwa kukwambia, ila yote haya kasababisha Mwa*** (jina la mchepuko). Yaani nilivyomjali vyooote kaamua kunisaliti? Yaani nimenyang'anywa na Devi hivi hivi?"
Aisee, I felt kuwaka hasira. Huyu rafiki angu mwanakwaya ni mume na ana 3 kids, ila alivyokuwa anamlilia mchepuko wake utadhani kaachwa na mkewe! Niliingia room, niliporudi I was like the long range missile....
Je, ni haki kweli kulizwa na kuumia sana kisa kuachwa na mchepuko???
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jinga sana uyu..pata picha ndo wewe mkewe..wallah nampasuaKah yani mke anakesha kuuguza kumbe limtu linapresha ya mchepuko[emoji3],Mungu amsaidie Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]yan acha tu,mtu unahangaika mume amezidiwa kumbe unajichoresha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jinga sana uyu..pata picha ndo wewe mkewe..wallah nampasua
Sent using Jamii Forums mobile app