Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora nikufuate tu kwakweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dev ndiyo kabeba , masikini mkewe anamuonea huruma mmewe,Ha ha haaa, ila dozi niliyompa sio nusu kaputi ni full kaputi japo hajakoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku naye akiolewa unazani hayo atayafanya? Oa beki 3 ukijua zile huduma atoazo
Embu piga picha hiyo unakuwa wewe siku mke anagundua atajisikia vipi.[emoji44]Kah yani mke anakesha kuuguza kumbe limtu linapresha ya mchepuko[emoji3],Mungu amsaidie Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala si utani ndiyo hivyo hivyoHa ha haaa. Ukiolewa na wewe unaanza kubweteka. Muwe mnatoa tuisheni kwa walioolewa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe linaugulia mwanamke mwenzio..duh haya mambo mwenyez nikiyafikia niepushie mbali[emoji23][emoji23][emoji23]yan acha tu,mtu unahangaika mume amezidiwa kumbe unajichoresha tu

Aise inatia hasira ,sijui ataongea lugha gani ili aeleweke yani unisumbue kisa mchepukoEmbu piga picha hiyo unakuwa wewe siku mke anagundua atajisikia vipi.[emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasira aibu maumivu kila kitu hadi kujisikia vibaya siku nyingine akiumwa atajifia kabisa aombe tu mke asijueAise inatia hasira ,sijui ataongea lugha gani ili aeleweke yani unisumbue kisa mchepuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise inatia hasira ,sijui ataongea lugha gani ili aeleweke yani unisumbue kisa mchepukoEmbu piga picha hiyo unakuwa wewe siku mke anagundua atajisikia vipi.[emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatia hasiraEmbu piga picha hiyo unakuwa wewe siku mke anagundua atajisikia vipi.[emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatia hasiraEmbu piga picha hiyo unakuwa wewe siku mke anagundua atajisikia vipi.[emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe linaugulia mwanamke mwenzio..duh haya mambo mwenyez nikiyafikia niepushie mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
I wish mkewe angegundua, hiyo mechi angeamua waziri wa mambo ya ndani.[emoji23][emoji23][emoji23]yan acha tu,mtu unahangaika mume amezidiwa kumbe unajichoresha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamama huwa wakishaolewa wanajisahau, ile bidii kipindi ni mchepuko inapotea lastly anapoteza radha.Siku naye akiolewa unazani hayo atayafanya? Oa beki 3 ukijua zile huduma atoazo
utazipata vilevile kifuatacho itv akolewa naye anaweka beki 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepumzikaje mama? Na sie tujifunze na kufunza wengine huku.Kupenda jamani acheni tuu. Bora ninepumzika hizo mambo zinatia uchizi
Sent using Jamii Forums mobile app
I laiki zisi. Sasa hapo akija mdau yupo siliasi na moyo umekudondokea haswa utamsaidiaje?