kajiti
Member
- Oct 19, 2011
- 59
- 7

unafahamika kama woman tree (Nareepol Tree) unapatikana Thailand.
tembelea hapa ujionee
[/B]]Nareepol Tree

unazaa matunda yenye umbo la mwanamke. ili upate picha tembelea http://www.wackyarchives.com/bizarre/the-woman-fruit-tree.htmlsasa sisi wabongo tutafahamia wapi kama unapatikana Thailand? ina uniquness gani?
Hiyo link ni mbovuView attachment 42940
unafahamika kama woman tree (Nareepol Tree) unapatikana Thailand.
tembelea hapa ujionee
[/B]]Nareepol Tree
na haya matunda yake yanaliwa?