unatakiwa kuomba ruhusa au kuaga

kaka hiyo korogwe usiombe upite weekend hata kwenye daladala unaiskilizia, siku moja nilikua napita na mshikaji wangu uzalendo ukamshinda akasema tushuke tukapige mnyama, safari yetu ikaishia pale pale!.
korogwe hapo iko fasta, haina kusubiri, dakika 5-10 kitu kiko mezani!, ila resort napapenda pametulia zaidi.

bwana ehh hebu rudini kwenye thread mnatutamanisha wengine jamani......
 
mie ninachofanyaga pale ninapogomewa ruhusa ni kwamba wote tu tukae home mana akitoka ninae....lol hawezi kwenda pata raha mwenyewe, na mara zote anazonigomea utakuta tumekwaruzana sasa hana hamu ya kutoka ujue na wewe cku hiyo hata kama ulishaomba ruhusu wik moja kabla utakataliwa tu...ukimkuta vizuri ahhh atabaki nyumbani we utatoka kama kawaida lakini ucsubiri upigiwe cmu ya kukumbushwa kuwahi nyumbani mana next time utagomewa....ndoa bwana!

Hapo umenichekesha dada yangu lol.... ngoma draw
 
kaka hiyo korogwe usiombe upite weekend hata kwenye daladala unaiskilizia, siku moja nilikua napita na mshikaji wangu uzalendo ukamshinda akasema tushuke tukapige mnyama, safari yetu ikaishia pale pale!.
korogwe hapo iko fasta, haina kusubiri, dakika 5-10 kitu kiko mezani!, ila resort napapenda pametulia zaidi.

Hilo mkuu wala sihangai ni kawaida kabisa, kisha unapiga simu home kwa mama kayaiikutoa taarifa kuwa uzalendo umekushinda so umepita sehem sehem,, ee bwana!

Nyamayao, hapo tumesharudi kwen thread...lol,, siku nyingine basi kumbe tuna kampani kubwa tu ya hii kitu!
 
Hapo umenichekesha dada yangu lol.... ngoma draw

mdogo wangu kuna wakati kwenye ndoa inabidi uwe mgumu bwana, mtu ajue mcmamo wako vilivyo, kuna kipindi ilikuwa nikisema hivi na vile naambiwa watoto utawacha na nani, nilifanya juu chini watoto waende boarding, kulikuwa hamna namna mana nilitakiwa niende kozi ya miezi kadhaa so watoto wakatimkia boarding ndio mpaka leo.
 
Hilo mkuu wala sihangai ni kawaida kabisa, kisha unapiga simu home kwa mama kayaiikutoa taarifa kuwa uzalendo umekushinda so umepita sehem sehem,, ee bwana!

Nyamayao, hapo tumesharudi kwen thread...lol,, siku nyingine basi kumbe tuna kampani kubwa tu ya hii kitu!

bado, rudini vizuri.
 
mdogo wangu kuna wakati kwenye ndoa inabidi uwe mgumu bwana, mtu ajue mcmamo wako vilivyo, kuna kipindi ilikuwa nikisema hivi na vile naambiwa watoto utawacha na nani, nilifanya juu chini watoto waende boarding, kulikuwa hamna namna mana nilitakiwa niende kozi ya miezi kadhaa so watoto wakatimkia boarding ndio mpaka leo.

....... Sasa dada nikuulize unafanyaje kuuonyesha huo msimamo wako? "Kama unanizuia nisiende safari yangu, na wewe hakuna kutoka" huku umezuia mlango au unamwambiaje ajue loh huyu yuko serious. Na je akiamua kutoka kwa nguvu? unamvuta shati au unabakia kununa tu kama mwanajamiiOne hapa? hebu nijuze dada yangu
 
Sema lini una nafasi twende kwen kiti moto na mazaga zaga mengine, manake kwako wewe ruhusa sio ishu kubwa.... (nitaanza kukunyima sasa)

aanze sasa kufanya practical!!, amwambie mr wake kwamba next weekend anataka kwenda resort akakutane na wana JF wenzake aone kama atapewa ruhusa ama vp!, si practical wajameni au?
 
Sema lini una nafasi twende kwen kiti moto na mazaga zaga mengine, manake kwako wewe ruhusa sio ishu kubwa.... (nitaanza kukunyima sasa)
\

haaa mr nikiwa free nitakujulisha.... ucfikirie kuninyima ruhusa mana amani itatoweka....lol
 
mdogo wangu kuna wakati kwenye ndoa inabidi uwe mgumu bwana

Umejuaje MJ1 ni mdogo kwako? Mwenzie karibu anaozesha shauri yako.
Mi siagi ila nateleza nasema nafika kwenye gahawa sasa sijui kwenye gahawa utakuja napo?
 
aanze sasa kufanya practical!!, amwambie mr wake kwamba next weekend anataka kwenda resort akakutane na wana JF wenzake aone kama atapewa ruhusa ama vp!, si practical wajameni au?

ooooh no khaa, kuna ruhusa na ruhusa jamani, na sio kwamba nikiwa naenda huwa afatilii, anafatlia anavyojua yeye na anakuta kama nilivyomwambia.
 
Umejuaje MJ1 ni mdogo kwako? Mwenzie karibu anaozesha shauri yako.
Mi siagi ila nateleza nasema nafika kwenye gahawa sasa sijui kwenye gahawa utakuja napo?

.... usin'zeeshe mwana wa mwanamke wa watu amah!! ndio kwanza natimiza 16 next week sema tu haya mambo nlianza kabla ya wakati!lol
 
aisee resort gani hii?, safari resort ya kimara au?
mi ndo uwanja wangu wa kujidai pale, never miss jumamosi, ugali wa kisukuma na kitimoto kilo nzima, wananijua sana pale!!!
teh teh tehh, ukija tutafutane mkuu

Hehehehe mkuu pale ndo kwangu.
Lakini siku hizi napendelea pale Korogwe kwa Jeni kiti moto yake balaa kachumbali shazi ukiagiza nusu kama kilo vile. Tatizo la Safari resort wana punja sana upimaji.
 
ilas
.... usin'zeeshe mwana wa mwanamke wa watu amah!! ndio kwanza natimiza 16 next week sema tu haya mambo nlianza kabla ya wakati!lol

hehehehe unamdanganya nani?
Shauri yako na hii misuko suko mtu atajua una 55 kumbe mbado hata 35 hujanusa.
 
Hehehehe mkuu pale ndo kwangu.
Lakini siku hizi napendelea pale Korogwe kwa Jeni kiti moto yake balaa kachumbali .shazi ukiagiza nusu kama kilo vile. Tatizo la Safari resort wana punja sana upimaji[/QUOTE]

kwi kwi kwi kiw dogo kweli una balaa wewe! ulishakagua mizani zote! hahahaha:D
 
.............. Mimi ndo wa kunipeleka Mburahati?!............... mwone vile!! (joke)

Heeee na wewe nawe nimekwambia nakupeleka ukale kiti moto au hutumii mama kule kuna mzee mmoja wa kichagga ana tengeneza vizuri sana kwa kuichoma kama mbuzi.
 
ooooh no khaa, kuna ruhusa na ruhusa jamani, na sio kwamba nikiwa naenda huwa afatilii, anafatlia anavyojua yeye na anakuta kama nilivyomwambia.

mambo gani haya bana kufatiliana?, humuaminiani au?
 
Hehehehe mkuu pale ndo kwangu.
Lakini siku hizi napendelea pale Korogwe kwa Jeni kiti moto yake balaa kachumbali shazi ukiagiza nusu kama kilo vile. Tatizo la Safari resort wana punja sana upimaji.

uko sawa kabisa, halafu kuna mhudumu mmoja pale wa kitimoto ana kibri sana, nilitakaga kumlamba kofi siku moja, ila Korogwe pale wako juu sanaaa, si unaisikiaga inanukia hata ukipita kwenye daladala speed kitu unakisikia teh teh teh, yani hapa nshaanza kutamani, walai lazima jioni nipitie nikitoka mzigoni, ukija Fidel utanikuta nimetuna pale kwa nje kwenye kibustani mshenzi kinachoangalia barabara ya morogoro kwa chini, nimevaa shati la bluu leo.
 
dada nyamayao nimekuuliza swali mpenzi hebu tusaidiane lol maana kwangu sipati picha hilo valangati lake--- aati unataka kulingana au kushindana nami lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom