Uongo tu wa kuwaaminisha watu na kuwafariji..Huo utajiri wa kutisha mbona hatujasikia.Hiyo Tunduma si ingekuwa kama Marekani basi au Dubai.
Dah!hiyo ya kuku iko namna ya kuitengua na haina mashabiki wengi siku hizi...........iko hiyo unakuta kijana shababi kwelikweli,halafu ana mahela yakutosha...........anakuwa na wadada wengi wengi kwenye gari halafu kumbe jongoo hapndi mtungi!!...kijana ambae hana familia,anataka utajiri anaenda kwa mganga,sharti analopewa ni kutoa nguvu zake za kiume ila anapata utajiri wa haraka na mwingi kwelikweli!
Ndio kuna jamaa huko Songwe anaitwa BAJOH hachakati papuchi ila wahuni wanamchakata na ukwasi anao umri ni miaka 28-32 hivi kutwa nzima anashinda ndani kwenye magari yake ya kifahari kwa siku. Huendesha magari hata sita tofauti kwa siku lkn hana kazi kwakweli namuona kama yeye ndio anateseka tuuEmbu fikiria kabisa huchakati papuchi.
Daaaa bora kubaki tu maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kuna jamaa huko Songwe anaitwa BAJOH hachakati papuchi ila wahuni wanamchakata na ukwasi anao umri ni miaka 28-32 hivi kutwa nzima anashinda ndani kwenye magari yake ya kifahari kwa siku. Huendesha magari hata sita tofauti kwa siku lkn hana kazi kwakweli namuona kama yeye ndio anateseka tuu
Una mla anakupa na pesa zamani hapo kabla aikua na mademu Ila baada ya kupata mpunga nae amekua punga
Tupo Tunduma na tumekula Christmas hapa huku tukisubiri mwaka mpya.Mambo ya Tunduma yanatisha kama sio kushangaza
Tunduma ndio sehemu pekee Tanzania kama sio Africa ambayo vijana wadogo kabisa ni matajiri wa kutisha na wengi wao hawana hata elimu ya darasa la saba.
Baada ya kufanya utafiti mdogo tu kuhusisha watu kama kumi tumegundua kuina jambo linaloendelea hapa Tunduma na Mbeya ambalo bado halijawekwa wazi watu wa Tunduma hasa vijana wanatumia nguvu za giza au uchawi kupata mali nyingi wanazomiliki.Kuna mganga maarufu hapa ambaye anafuga jogoo mkubwa sana mwenye afya ya kutosha ukitaka utajiri unaenda kwa huyu mganga halafu anabashiri siku zako za kuishi duniani zimebakia ngapi akishakupa idadi ya siku zako zilizobakia duniani anamleta jogoo wake mwenye afya tele anarusha mahindi sawasawa na idadi ya miaka yako iliyobakia duniani.
Jogoo anaruhusiwa kudonoa mahindi yale, kama miaka yako ya kuishi duniani ilibakia 10,mahindi kumi yanarushiwa jogoo,anadonoa na kula baadhi ya mahindi,akila mahindi matano ina maana utapewa utajiri na utaishi miaka mitano baada ya hapo utakufa ile miaka mitano iliyobaki utaenda kuwatumikia wakubwa waliokupa huo utajiri,kuna machimbo ya madini Congo DRC ndiko unakopelekwa tulipoulizia maisha ya huko machimboni uliambiwa kule unakunywa maji kila siku huku ukipiga kazi masaa 24.
Hiyo ndio taarifa ya Tunduma mji uliojaa vijana waliokata tamaa na kuamua kujitoa mhanga.
Hii taarifa ni ya kweli na tumefanya utafiti wa kutosha.
Lazima mtoa siri yupo hata kama masharti yanakataza .... Hawakosekani watu wa hivo mkuu,Gaijin I was blessed with a chance to live in Mbeya for some two good years, This is a story I have been hearing al along but sikubahatika kufanya uchunguzi wa kina kama mleta mada.
Ninaachoomba mleta mada anieleze alifanya vipi huo uchunguzi? ulienda kwa huyo mganga? ulipewa taarifa na m2 aliyewahi kwenda? Kwani wanatoaga hizo ''siri''?
Hii point sijaielewa mkuuWengi wakuwasamehe Nigeria kuitengua hio ya Kuku na bado wanaishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wakuwasamehe Nigeria kuitengua hio ya Kuku na bado wanaishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu fikiria kabisa huchakati papuchi.
Daaaa bora kubaki tu maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashariti Alipewa ya Kuliwa au aliamua tu kuliwa Baada ya kuona hana uwezo wa kula mbunye.Ndio kuna jamaa huko Songwe anaitwa BAJOH hachakati papuchi ila wahuni wanamchakata na ukwasi anao umri ni miaka 28-32 hivi kutwa nzima anashinda ndani kwenye magari yake ya kifahari kwa siku. Huendesha magari hata sita tofauti kwa siku lkn hana kazi kwakweli namuona kama yeye ndio anateseka tuu
Yote yaweza kuwa majibu mkuuMashariti Alipewa ya Kuliwa au aliamua tu kuliwa Baada ya kuona hana uwezo wa kula mbunye.