King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,968
- 98,093
Tupo Tunduma na tumekula Christmas hapa huku tukisubiri mwaka mpya
Mambo ya Tunduma yanatisha kama sio kushangaza
Tunduma ndio sehemu pekee Tanzania kama sio Africa ambayo vijana wadogo kabisa ni matajiri wa kutisha na wengi wao hawana hata elimu ya darasa la saba
baada ya kufanya utafiti mdogo tu kuhusisha watu kama kumi tumegundua kuina jambo linaloendelea hapa Tunduma na Mbeya ambalo bado halijawekwa wazi
watu wa tunduma hasa vijana wanatumia nguvu za giza au uchawi kupata mali nyingi wanazomiliki,kuna mganga maarufu hapa ambaye anafuga jogoo mkubwa sana mwenye afya ya kutosha
ukitaka utajiri unaenda kwa huyu mganga halafu anabashiri siku zako za kuishi duniani zimebakia ngapi
akishakupa idadi ya siku zako zilizobakia duniani anamleta jogoo wake mwenye afya tele
anarusha mahindi sawasawa na idadi ya miaka yako iliyobakia duniani.jogoo anaruhusiwa kudonoa mahindi yale,
kama miaka yako ya kuishi duniani ilibakia 10,mahindi kumi yanarushiwa jogoo,anadonoa na kula baadhi ya mahindi,akila mahindi matano ina maana utapewa utajiri na utaishi miaka mitano baada ya hapo utakufa
ile miaka mitano iliyobaki utaenda kuwatumikia wakubwa waliokupa huo utajiri,kuna mahimbo ya madini Congo DRC ndiko unakopelekwa
tulipoulizia maisha ya huko machimboni tuliambiwa kule unakunywa maji kila siku huku ukipiga kazi masaa 24
hiyo ndio taarifa ya Tunduma mji uliojaa vijana waliokata tamaa na kuamua kujitoa mhanga
hii taarifa ni ya kweli na tumefanya utafiti wa kutosha

Nimewahi kusikika hiyo! Ni balaa! Akila hindi moja je? Inaruhusiwa kukata rufaa kama hukubaliani na idadi ya mahindi yaliyoliwa na jogoo? If yes I could also try, akila chini ya mahindi arobaini nabadili mawazo.
Regards
Mtoa mada wewe ni mshirikina na una mapepo! Acha kuwaaminisha watu uongo.
Mimi ninafanya biashara hapa Tunduma, hakuna tajiri asiyejishughulisha hapa, watu tunajituma sana.
Siri ya mafanikio hapa ni biashara hasa za magendo, vipodozi, na bureau de change za kienyeji.
Hakuna anayeweza kuthibitisha huo uchawi wenu.
Wana JF tuwe makini na hizi rumours, tujitume katika kazi ndio msingi wa mafanikio.
unachanganya mambo!hamzungumzii huyo wa kule kwa wakinga,anamzungumzia wa tunduma anatokea congo!huyo mzee anaitwa Mwakipande
Ni kweli,ogopa sana watu wa nyanda za juu kusini.
1.Ukija Ntwara kuna kitu kinaitwa ngende ni nomaaa unakua Legrande mupoa pedeshee mutu ya pakee mingi
2.Kuna kitu kinaitwa Ndele ni nomaa hii diamond kafanya
3.Ukienda iringa(wakinga) utajiri wao ni wa kuua wazazi nenda k/koo utakuta mkinga na yeboyebo na kipensi cha jinsi lakini ana jengo la ghorofa 8 k/koo!
4.Watu wa iringa wanaondoa viungo vya mwilini mwao kwa ajili ya kupata utajiri.
Tupo Tunduma na tumekula Christmas hapa huku tukisubiri mwaka mpya
Mambo ya Tunduma yanatisha kama sio kushangaza
Tunduma ndio sehemu pekee Tanzania kama sio Africa ambayo vijana wadogo kabisa ni matajiri wa kutisha na wengi wao hawana hata elimu ya darasa la saba
baada ya kufanya utafiti mdogo tu kuhusisha watu kama kumi tumegundua kuina jambo linaloendelea hapa Tunduma na Mbeya ambalo bado halijawekwa wazi
watu wa tunduma hasa vijana wanatumia nguvu za giza au uchawi kupata mali nyingi wanazomiliki,kuna mganga maarufu hapa ambaye anafuga jogoo mkubwa sana mwenye afya ya kutosha
ukitaka utajiri unaenda kwa huyu mganga halafu anabashiri siku zako za kuishi duniani zimebakia ngapi
akishakupa idadi ya siku zako zilizobakia duniani anamleta jogoo wake mwenye afya tele
anarusha mahindi sawasawa na idadi ya miaka yako iliyobakia duniani.jogoo anaruhusiwa kudonoa mahindi yale,
kama miaka yako ya kuishi duniani ilibakia 10,mahindi kumi yanarushiwa jogoo,anadonoa na kula baadhi ya mahindi,akila mahindi matano ina maana utapewa utajiri na utaishi miaka mitano baada ya hapo utakufa
ile miaka mitano iliyobaki utaenda kuwatumikia wakubwa waliokupa huo utajiri,kuna mahimbo ya madini Congo DRC ndiko unakopelekwa
tulipoulizia maisha ya huko machimboni tuliambiwa kule unakunywa maji kila siku huku ukipiga kazi masaa 24
hiyo ndio taarifa ya Tunduma mji uliojaa vijana waliokata tamaa na kuamua kujitoa mhanga
hii taarifa ni ya kweli na tumefanya utafiti wa kutosha
Mimi naomba namba ya huyo dingi nichonge naye aniuzie huyo kwiyo.
Mkuu na wewe ''unazungumzia kufanyia utafiti'' mambo yasio na hata chembe ya ukweli? Hizo ni hekaya ambazo kwa mtu aliyesoma shule na akaelimika hazitamsumbua sembuse kuwaza mambo ya utafiti.Gaijin I was blessed with a chance to live in Mbeya for some two good years, This is a story I have been hearing al along but sikubahatika kufanya uchunguzi wa kina kama mleta mada.
Ninaachoomba mleta mada anieleze alifanya vipi huo uchunguzi? ulienda kwa huyo mganga? ulipewa taarifa na m2 aliyewahi kwenda? Kwani wanatoaga hizo ''siri''?