Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Chukua chupa la lita 1.5 la Kilimanjaro jaza mchanga,then uwe unalirusha mbele nyuma,nyuma mbele..kama unasukuma bembea sio kurusha udake[emoji3]
Au piga ngumi hewani...
Asante byongo, ngoja nijaribu hii ya chupa, hata hii ya ngumi hewani huwa nafanya lkn mara chache sababu ya muda
 
Ayo yote Tisa mkuu mazoezi ya tumbo ni chakula tu ukiwa unakula hovyo hata ufanyaje hutopata matokeo chanya hata kidogo nimehangaika sana na hili zoezi bila mafanikio nimekuwa muhudhuriaji mzuri wa gym napata matokeo chanya kote ila tumboo likanishinda kabisa ila sasa nimebadili life style yangu ya kula kabisaa huu ni mwezi wa pili sasa nina six packs zinakuja kwa speed na rate ya mazoezi ya sasa ni ndogo sana ukicompare na mara ya kwanza

Fanyeni yote usipojua kuheshimu chakula kitambi hakiepukiki
 
Kweli kabisaaa...me nahangaika na huu mwili Mungu ndo anajua,,ila tangu chakula cha wanga nimeacha improvements naziona mnooo..soda na chupa nlishasahau..kweli ni discipline tu na chakula hata bila mazoezi unaeza pungua
 
Ni kweli kabisa mkuu.
Ila ujio wa steroids na extreme workouts zimesababisha mitandaoni tuone wadada wakiwa na firm six packs, hizi zinawafanya baadhi ya wanawake kutamani wanachokiona.
Naomba kujua athari za kutuma steroids mkuu
 
Nakimbia uwanja Mara 15 kila siku jioni... Napiga mazoezi yote ya kukata tumbo... Napiga mazoezi ya stamina za miguu n.k

Najihisi nimezaliwa upya Niko poaaaaaaaa kabisa...

Fuatilieni comments zangu hapo juu muone maumivu niliyoyapata wiki ya kwanza... Sitasahau kwa kweli
 
Ayo yote Tisa mkuu mazoezi ya tumbo ni chakula tu ukiwa unakula hovyo hata ufanyaje hutopata matokeo chanya hata kidogo nimehangaika sana na hili zoezi bila mafanikio nimekuwa muhudhuriaji mzuri wa gym napata matokeo chanya kote ila tumboo likanishinda kabisa ila sasa nimebadili life style yangu ya kula kabisaa huu ni mwezi wa pili sasa nina six packs zinakuja kwa speed na rate ya mazoezi ya sasa ni ndogo sana ukicompare na mara ya kwanza

Fanyeni yote usipojua kuheshimu chakula kitambi hakiepukiki
Unakula mini kwa sasa kilichokusaidia tumbo kupungua?
 
Naomba kujua athari za kutuma steroids mkuu
Kwa kawaida dawa/ supplements hua zinahitaji mtu akiwa anakula awe anafanya mazoezi haswa akilegea legea ndiyo unakuta mtu ni baunsa wa klabu na ananyanyua uzito lakini ana kitambi na matako makubwa hii ni kwa Tanzania.

Wenzetu kwakua wana hadi dawa za kufanya wawe na miili iliyokata ndiyo unakuta bodybuilder ana kitambi lakini kina six packs
that-belly-body-building-33354.jpg
.

Madhara mengine yanasemwa kua ni hasira za hapa na pale mfano Bodybuilder Titus alipoua mtu ilisemekana kua ni kutokana na matumizi ya steroids.

Lakini kuna bodybuilders kama Flex Wheeler na Paul Dillet ambao wameonesha kua steroids siyo nzuri kwa afya kutokana na madhara waliyoyapata baada ya kuachana na bodybuilding.
Magonjwa kama ya moyo, ini, mapafu na kansa hua yanawasumbua sana bodybuilders ambao walikua wakitumia hizi dawa.
 
Kwa kawaida dawa/ supplements hua zinahitaji mtu akiwa anakula awe anafanya mazoezi haswa akilegea legea ndiyo unakuta mtu ni baunsa wa klabu na ananyanyua uzito lakini ana kitambi na matako makubwa hii ni kwa Tanzania.

Wenzetu kwakua wana hadi dawa za kufanya wawe na miili iliyokata ndiyo unakuta bodybuilder ana kitambi lakini kina six packs
View attachment 470604.

Madhara mengine yanasemwa kua ni hasira za hapa na pale mfano Bodybuilder Titus alipoua mtu ilisemekana kua ni kutokana na matumizi ya steroids.

Lakini kuna bodybuilders kama Flex Wheeler na Paul Dillet ambao wameonesha kua steroids siyo nzuri kwa afya kutokana na madhara waliyoyapata baada ya kuachana na bodybuilding.
Magonjwa kama ya moyo, ini, mapafu na kansa hua yanawasumbua sana bodybuilders ambao walikua wakitumia hizi dawa.
Shukrani mkuu
 
Mm nafanya mazoezi nilikuwa mnene nimepungua ila tatizo langu michirizi imenitokea mkononi inanikera sana naomba msaada anayejua dawa yakuondoa nitashukuru sana
 
Shukrani mkuu
Karibu tena hata hivyo hayo majibu yangu hayatoshi.
Kama unafikiria kutumia steroids chukua ushauri kutoka kwa mtaalamu kabisa, haya niliyokueleza ni kutokana na nilivyokua nafuatilia huu mchezo na jinsi ninavyokutana na mabaunsa Tz.

Kila la kheri mkuu.
 
Unakula mini kwa sasa kilichokusaidia tumbo kupungua?
Mkuu sasa hivi sili kabisa mavyakula ya mafuta nakula kiasi asubuhi sana sana vyakula vya kuchemsha na matunda mchana pia usiku ndo huwa sigusi chochote zaidi ya matunda na pia natumia maji ya kutosha
 
Back
Top Bottom