RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,503
- 135,519
Unastahili pongezi!Mkuu ni commitment tu,mi nilifanya diet ya kula veggie asubuhi,mchana veggie or fruits usiku fresh juice without any added sugar and i lost 4 kgs,Mind that kuna siku kama mbili hivi nilkuwa nacheat nakula kaubwabwa kiduchu au kaugali kadona..unawweza then baada ya hizo siku unaanza kula kama kawaida ila unacontrol intake yako na mazoezi unapungua...i was 97 and now ndani ya miezi 2 nna 79 kgs