Nilinunua elfu 10, ukiwa Feri unataka kuvuka kwenda kigamboni utakuta kuna jamaa ameweka vitu vya mazoezi na hivyo vitairi anavyo.Mm nimenenepeana tu wakati sina hela,hicho kitairi bei gani mkuu!!,na ulaji wa chakula je?
Asante mkuuNilinunua elfu 10, ukiwa Feri unataka kuvuka kwenda kigamboni utakuta kuna jamaa ameweka vitu vya mazoezi na hivyo vitairi anavyo.
Kula ni kawaida ila isiwe junk food (Burger, Pizza n.k)
Itakua ulizidisha idadi ya reps wakati wewe ni beginner kwenye hilo zoezi.Daah kuna zoezi niliangalia youtube linafanana kidogo na hilo la pili ila lenyewe unanyanyua magoti unaleta tumboni. Siku ya kwanza nimefanya siku ya pili sasa maumivu chini ya kitovu utasema kizazi kinachomoka. Bado najifikiria niendelee au niache. Ngoja nisubscribe hapa kwanza
Kweli bwana nilizidisha...sijaacha ila cha moto nakiona. Nikifanya mbili nalala kabisa chiniItakua ulizidisha idadi ya reps wakati wewe ni beginner kwenye hilo zoezi.
Hata hivyo usingeacha ungepunguza idadi ya ulzofanya jana yake, mpaka ungekaa sawa na gari lingewaka kimoja.
Kuna kosa kubwa sana mnafanya wanawake, si kila zoezi ni lakufanya mwanamke, kuna mazoezi wanawake hasa ambao hawajazaa au wanaendelea kuzaa hawaruhusiwi kabisa kufanya. ndo maana ni vizuri kwenda kwenye gym zenye wataalamu bobevuDaah kuna zoezi niliangalia youtube linafanana kidogo na hilo la pili ila lenyewe unanyanyua magoti unaleta tumboni. Siku ya kwanza nimefanya siku ya pili sasa maumivu chini ya kitovu utasema kizazi kinachomoka. Bado najifikiria niendelee au niache. Ngoja nisubscribe hapa kwanza
Najitahidi mkuuHahahaha ila wekea dedication routine yako utaenjoy haswa.
Share diet plan yako hapa mkuu, utakua umefanya service kwa wanaJF wenzako.MAZOEZ YANAHITAJI MOYO WA CHUMA NA SALA...MIMI NILINENE MPAKA NIKITEMBEA KIFUA KINATIKISIKA NYAMA,,NIKAPIGA DIET PLAN YANGU MOJA KWA WIKI MBILI NIKAWA KAMA MODEL SASA NDO NATAKA NIINGIE GIM SEMA NATAKA MWALIM NIMWELEZE NAVOTAKA KUA MAANA MAFUTA YOTE NIMETOA
Sasa mkuu kama sina hela ya gym niendelee kubaki na kitambi changu? Hilo zoezi niliangalia youtube niliona wanafanya wanawake. Nishauri basi zoezi la kufanyaKuna kosa kubwa sana mnafanya wanawake, si kila zoezi ni lakufanya mwanamke, kuna mazoezi wanawake hasa ambao hawajazaa au wanaendelea kuzaa hawaruhusiwi kabisa kufanya. ndo maana ni vizuri kwenda kwenye gym zenye wataalamu bobevu
Ni kweli kabisa mkuu.Kuna kosa kubwa sana mnafanya wanawake, si kila zoezi ni lakufanya mwanamke, kuna mazoezi wanawake hasa ambao hawajazaa au wanaendelea kuzaa hawaruhusiwi kabisa kufanya. ndo maana ni vizuri kwenda kwenye gym zenye wataalamu bobevu
Diet gani hiyo ulipiga wiki mbili ukawa modelMAZOEZ YANAHITAJI MOYO WA CHUMA NA SALA...MIMI NILINENE MPAKA NIKITEMBEA KIFUA KINATIKISIKA NYAMA,,NIKAPIGA DIET PLAN YANGU MOJA KWA WIKI MBILI NIKAWA KAMA MODEL SASA NDO NATAKA NIINGIE GIM SEMA NATAKA MWALIM NIMWELEZE NAVOTAKA KUA MAANA MAFUTA YOTE NIMETOA
Daah mimi sihitaji six packs. Za nini? Nataka tumbo flat tu basiNi kweli kabisa mkuu.
Ila ujio wa steroids na extreme workouts zimesababisha mitandaoni tuone wadada wakiwa na firm six packs, hizi zinawafanya baadhi ya wanawake kutamani wanachokiona.