Unataka kupendwa na wengi? Soma haya

Unataka kupendwa na wengi? Soma haya

The same to me kazini, home na mitaani watu wananipenda hadi najishtukia.

Hata girls ambao nimeshawahi kuwa nao uhusiano, bado wananipenda pamoja na kuwa wengine wameolewa
huenda ulikua mhongaj sana
 
Kutokana na maelezo ya Rais kwa wahariri, je safari ya Rais JK Marekani na kwingineko imefanikiwa?

Kwa nilivyokuelewa wew hupendi kudraw attention ya watu....but ni tofauti na kupendwa...I believe kila mtu anapenda kupendwa na watu wanaomzunguka
 
Na ukipendwa sana na wengi ujue una tatizo...kuna kitu hakipo sawa somewhere..
 
Binaadamu hawana kheir unaweza fanya yote na usipendwe zaidi ukaonekana tu kiherehere

Sio kweli mkuu hii imework out kwa wengi tuu,, yaani hata watakaokuchukia baaasi watabezwa na hao wengi wanaokupenda..
 
Na ukipendwa sana na wengi ujue una tatizo...kuna kitu hakipo sawa somewhere..

Kupendwa kuna Raha yake... Ni mpaka uwe umeshawahi kuwa katika hali hiyo ndiyo utaelewa..
 
Sio kweli mkuu hii imework out kwa wengi tuu,, yaani hata watakaokuchukia baaasi watabezwa na hao wengi wanaokupenda..

Nnayo mifano kama mitano au zaid siku nkipata nafasi ntafafanua
 
Umeongea ukweli. Hasa kwenye suala la salamu. Watu wengi wanafarijika wanapopata salamu iliyoambatana na tabasamu!
 
Nimejifunza asante mkuu Jf habari zenu jaman
 
Naweza kusema napendwa na jamii inayonizunguka. Mpaka wengine huthubutu kunambia kuwa wananipenda.... Wakubwa kwa wadogo, wengine hujabna kutaka urafiki nami... Namshukuru Mungu kwa hilo...

NOTE: Napendwa UPENDO wa kindugu sio mapenzi....
 
Namba 3 bado ni shida sana kwangu,

Ipo siku panapo uzima nitaiweza.
 
Back
Top Bottom