Kwakweli ni bahati, kuna wanawake ni wife material hatari alafu walaaa ndoa wanazisikia tu, sasa kuna hao wengine alijsemea sijui nani yule humu eti "kuna 'makatapila' huwa yanaolewa hadi unawaza hivi huyu mwanaume anamfahamu vizuri huyo mwanamke".Kuna mda aymatu bahati pia ujue unaweza ukawa upo na mwanaume unavaa uhusika wa mke mpaka kwake kila kitu unafanya msikini unajitoa kwa njia zote cha kwake ni chako tena mmekaa mda mrefu mwisho wa siku unaachwa anakuja kuolewa mwingine hata mwaka hawajamaliza
Kweli auntie bahati inachangia sana ndio kama hivyoKwakweli ni bahati, kuna wanawake ni wife material hatari alafu walaaa ndoa wanazisikia tu, sasa kuna hao wengine alijsemea sijui nani yule humu eti "kuna 'makatapila' huwa yanaolewa hadi unawaza hivi huyu mwanaume anamfahamu vizuri huyo mwanamke".
Nikweli kabisa, kazi ipo kwenye kumpataSure, umpate tu wa kuendana nae. Basi hapo unakuwa umemaliza kazi.
Kuna mwanafunzi wa kike aliwahi kunipa jibu moja matataa hadi nilihisi kizungu zungu, siku ya siku nikamkuta akitukanana na mama yake, basi nikapumua tu. Kama mama anatukanwa vile basi mimi alinistahi sana.Unajiuliza huyu kazaliwa au katapikwa jamaan
Kwakweli ni bahati, kuna wanawake ni wife material hatari alafu walaaa ndoa wanazisikia tu, sasa kuna hao wengine alijsemea sijui nani yule humu eti "kuna 'makatapila' huwa yanaolewa hadi unawaza hivi huyu mwanaume anamfahamu vizuri huyo mwanamke".
Usijali, sali sana, mshirikishe Mungu, hatokupa nyoka ilhali umemuomba samaki. Family is a beatifull thing.Nikweli kabisa, kazi ipo kwenye kumpata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani humu jf kuna vituko mama, kuna watu wana maneno kweli.hahahahahahhaa makatapila ;lol
kama piritoniiKama namuona mama hapo kawa mpolee
vbaya mnooOhoooooo!!! Kuna watu wamepinda duuh!!!
Ohooooo!!!vbaya mnoo
anakuambia nanuia kwenda kutafuta Ukimwii anamuacha mm ndani anaenda kudanga
😀 😀 😀 😀 😀 acha tuu umenikumbusha mbaliiKuna mwanafunzi wa kike aliwahi kunipa jibu moja matataa hadi nilihisi kizungu zungu, siku ya siku nikamkuta akitukanana na mama yake, basi nikapumua tu. Kama mama anatukanwa vile basi mimi alinistahi sana.
Wapi tena madam?😀 😀 😀 😀 😀 acha tuu umenikumbusha mbalii
Aisee halaf kingine malezi nahisi yanachangia umemleaje mtoto wako katika mazingira yapiiKuna mwanafunzi wa kike aliwahi kunipa jibu moja matataa hadi nilihisi kizungu zungu, siku ya siku nikamkuta akitukanana na mama yake, basi nikapumua tu. Kama mama anatukanwa vile basi mimi alinistahi sana.
Hivi mtu kujiweka vizuri ie kubehave vizuri and all that ni hadi ukihitaji kuolewa? Can't you just be a good person kwa sababu that's how it is supposed to be? Ndo kisa cha kupata watu fake, mtu akihitaji mume ndo anaanza kwenda kanisani, akimpata anaacha, she was just doing it for marriage, ashaipata ahangaikie nini sasaMwanamke unajiweka tayari sawa!! Sasaaaaa hao the so called waume duuuh!! Bora waanze kujiandaa wao kwakweli.
Malezi is everything my dear, muhimu mnoooo. Ukivuruga hapo umevuruga kila kitu.Aisee halaf kingine malezi nahisi yanachangia umemleaje mtoto wako katika mazingira yapii