[emoji1] i truly trust wengi mnaangalia tu mwenye nia basi...
Ah ah ah kwanini lakini au tuna some elements zinazoendana?Asante Ney mpenzi halaf ujue nakufananishaga na Nalendwa jamaan
Yeah, nayo yaweza kuwa sababu. Naona espy na mrs air wameufurahia uzi huu maana sio kwa kutiririka huko, full vicheko.Hahaha sijui sababu ya avatar jaman au najina kila mtu linaanzia na N
Avatar zao?ahahah ujue auntie namfananisha sana Ney na Nalendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeah, nayo yaweza kuwa sababu. Naona espy na mrs air wameufurahia uzi huu maana sio kwa kutiririka huko, full vicheko.
[emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] auntie umeanza ujue
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chezea ndoa wewe!