Nimekumiss sana Mwalimu.Mie nijuavyo Mwanaume hupenda sana heshima kwasabb ya status yake kama kichwa cha familia (wale candidates wa mama ngaiza hapa tutatofautiana)
lakin pia heshima haiwez kuwepo kama huna upendo na unaye muheshimu.
wanawake wameumbwa kupendwa na hivyo huwez ukampenda mtu afu usimuheshimu.
Wanawake vinatuponzaga midomo, na panic za haraka haraka sana ambazo sio tu kwenye famili bali hata kazin. Ndio umesoma, una hela nk lie low maisha yaende sasa ukisahau kuwa mpole, mwenye kuskiliza zaid na mwenye hoja za kuweza kumconvice mtu kwa maneno yasokuwa na makelele kashfa mwanamke utaish miaka mingi sana kwa amani.
Kuna muda mwingine unatakiwa upriotize tu kwamba huyu kasema hivi kweli lkn je kwa amie kushout out inabadili alichokisema ama itafuta maneno maskion mwa watu?? ukipima ukiona haiwez then unatakiwa uache upepo upite kimya kimya maisha yako yasonge mbele.
Kwa wanaume mara nyingi sana hupandisha hasira wakijibiwa tena kwa jeuri, na hapa sasa ndipo ambapo wanawake huambulia kichapo ila kwa wenye hekima zao huwa wanamsoma mtu akiona tayari kesha loose temper basi anaamua kukaa kimya ama hata kuondoka mbele zake hadi hasira za huyu mtu ziishe.
Nilichogundua kwenye haya maisha wengi wetu hujikuta kwenye maugomvi, visasi, na mikasa mibaya just because hatuwez kutumia approach sahihi mbele ya jambo. na kubwa zaid wanaume wote hata awwe kichaa huwa anapenda zaid kuheshimiwa tu hata kama ukitafuta cha kumheshimu hukioni.
hahaha!!!! ntakutafuta babu tuongee kwa lugha mbalimbali..hope tutaelewana
Mie nijuavyo Mwanaume hupenda sana heshima kwasabb ya status yake kama kichwa cha familia (wale candidates wa mama ngaiza hapa tutatofautiana)
lakin pia heshima haiwez kuwepo kama huna upendo na unaye muheshimu.
wanawake wameumbwa kupendwa na hivyo huwez ukampenda mtu afu usimuheshimu.
Wanawake vinatuponzaga midomo, na panic za haraka haraka sana ambazo sio tu kwenye famili bali hata kazin. Ndio umesoma, una hela nk lie low maisha yaende sasa ukisahau kuwa mpole, mwenye kuskiliza zaid na mwenye hoja za kuweza kumconvice mtu kwa maneno yasokuwa na makelele kashfa mwanamke utaish miaka mingi sana kwa amani.
Kuna muda mwingine unatakiwa upriotize tu kwamba huyu kasema hivi kweli lkn je kwa amie kushout out inabadili alichokisema ama itafuta maneno maskion mwa watu?? ukipima ukiona haiwez then unatakiwa uache upepo upite kimya kimya maisha yako yasonge mbele.
Kwa wanaume mara nyingi sana hupandisha hasira wakijibiwa tena kwa jeuri, na hapa sasa ndipo ambapo wanawake huambulia kichapo ila kwa wenye hekima zao huwa wanamsoma mtu akiona tayari kesha loose temper basi anaamua kukaa kimya ama hata kuondoka mbele zake hadi hasira za huyu mtu ziishe.
Nilichogundua kwenye haya maisha wengi wetu hujikuta kwenye maugomvi, visasi, na mikasa mibaya just because hatuwez kutumia approach sahihi mbele ya jambo. na kubwa zaid wanaume wote hata awwe kichaa huwa anapenda zaid kuheshimiwa tu hata kama ukitafuta cha kumheshimu hukioni.
lets back off to avoid taking things out of proportion......Did i say that or did you??
...I specifically quoted the ''paragraph'',and out of curiousity wanted to see lara 1's view...I was flabbergasted to see how you perceived it...I think you are missing the big picture!
With all due respect,.....thanks,but no.You should probably read my previous thread.
nitashangaa sana mkielewana....!
lara 1 ni drama queen?....based on the context....I am curious to see her point of view,,,,.Kuwa na amani.hakuna drama..
Hahahaha mi si mkabaila. Ni mjamaa. Akija kwa nia njema why not??
babu yako anapenda pesa..ananunulika kirahisi..nitashangaa sana mkielewana....!
babu ktk ubora wake..safi babu..umeelewekaHahahaha mi si mkabaila. Ni mjamaa. Akija kwa nia njema why not??
babu yako anapenda pesa..ananunulika kirahisi..
haha!! kumbe ye ndo mwenye hilo jina..basi sawa