Unataka heshima? Waheshimu wengine kwanza

Hivi ni yule wa UDSM anazungumzwa??? kama ni yeye...Yule mama ana dharau tu ila alikuwa ana mahusiano hadi na wanaume wadogo sana kwake,umuhimu wa wanaume hautawahi kuondoka hata hizo artificial sperm zikiwepo....presence yao kwenye maisha yetu ni zaidi ya mbegu za uzazi na kibibi kinajua hilo.....mimi nilikuwaga naona kachanganyikiwa....I miss gender Unit though...lol....kuwa submissive,kuna raha yake kama mtu anakupenda,sijui kinamshinda nini au ni elimu yake?? Kule Business school atleast wameolewa wengi, tulikuwa na role models wa tofauti....lol
Huyo huyo,yupo Institute of Development Studies (IDS)
 
Mie nijuavyo Mwanaume hupenda sana heshima kwasabb ya status yake kama kichwa cha familia (wale candidates wa mama ngaiza hapa tutatofautiana)

lakin pia heshima haiwez kuwepo kama huna upendo na unaye muheshimu.

wanawake wameumbwa kupendwa na hivyo huwez ukampenda mtu afu usimuheshimu.

Wanawake vinatuponzaga midomo, na panic za haraka haraka sana ambazo sio tu kwenye famili bali hata kazin. Ndio umesoma, una hela nk lie low maisha yaende sasa ukisahau kuwa mpole, mwenye kuskiliza zaid na mwenye hoja za kuweza kumconvice mtu kwa maneno yasokuwa na makelele kashfa mwanamke utaish miaka mingi sana kwa amani.
Kuna muda mwingine unatakiwa upriotize tu kwamba huyu kasema hivi kweli lkn je kwa amie kushout out inabadili alichokisema ama itafuta maneno maskion mwa watu?? ukipima ukiona haiwez then unatakiwa uache upepo upite kimya kimya maisha yako yasonge mbele.

Kwa wanaume mara nyingi sana hupandisha hasira wakijibiwa tena kwa jeuri, na hapa sasa ndipo ambapo wanawake huambulia kichapo ila kwa wenye hekima zao huwa wanamsoma mtu akiona tayari kesha loose temper basi anaamua kukaa kimya ama hata kuondoka mbele zake hadi hasira za huyu mtu ziishe.

Nilichogundua kwenye haya maisha wengi wetu hujikuta kwenye maugomvi, visasi, na mikasa mibaya just because hatuwez kutumia approach sahihi mbele ya jambo. na kubwa zaid wanaume wote hata awwe kichaa huwa anapenda zaid kuheshimiwa tu hata kama ukitafuta cha kumheshimu hukioni.

Very well said gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Siwezi kudhalilisha hata kama ni mchepuko wangu siwezi,ukijiheshimu utaheshimika sana
 
Mwanzo umesema "mwanamke/mwanaume ukitaka kuheshimiwa waheshimu wengine..."

Sina tatizo hapo

Mbele kidogo ikawa ni mwanamke tu ndio aheshimu mwanaume na ajiheshimu?
Na hapa umepata support ya wanaume wengi sana maana inaonekana jukumu la kujiheshimu na kiheshimu wengine ni la wanawake tu.
Sieleweli sana hii kitu. Nafikiri ina mzizi zaidi ya malezi na dini tulizofundishwa.

Ninaamini kwenye UPENDO. Na upendo simaanishi "eros" ambao kwa nyie wanasayansi mnahusisha na hormone sijui dopamine au ule wa "philia". Ambao ni self centered. Ninamaanisha upendo wa agape ambao ni "others centered". Na hii ni task ya both men and women. Kila mtu akimpenda mwenzake hatuna haja ya kuhubiri kuheshimu wengine au kujiheshimu.

Kuna mtu katoa mfano wa mwanaume akicheat je mwanamke acheat pia? Why should a man cheat in the first place?

To me ningesisitiza upendo kwa pande zote mbili ndio muarobaini wa matatizo yote. Kuwa pessimistic na kuona ni next to impossible hakufanyi kudeal na one symptom ya lack of upendo kuwa ni solution ya mahusiano yoyote duniani. Au kudeal na one part iwe just submissive hakuyafanyi mahusiano kuwa ya upendo ingawa yanaweza last a little bit longer
 
ningepewa nafasi ya ku elezea mstari wa biblia
"wanaume wapendeni wake zenu, wake waheshimu waume zenu".
ningesema
"kama ilivyo ngumu mwanume kumpenda mwanamke ndo ilivyo ngumu mwanamke kumheshimu mume.."
au
"mwanaume huthamini heshima kuliko mapenzi, kama alivyo mwanamke kuheshimu mapenzi kuliko heshima"

inatupasa kufanya wajibu wetu.

Halafu ungetoa na tafsiri ya upendo according to biblia ingekamilisha yote.
Ni wakorinto ile??? ....huvumilia yote,..... haujivuni etc
 
Kuna mtu katoa mfano wa mwanaume akicheat je mwanamke acheat pia? Why should a man cheat in the first place?

To me ningesisitiza upendo kwa pande zote mbili ndio muarobaini wa matatizo yote. Kuwa pessimistic na kuona ni next to impossible hakufanyi kudeal na one symptom ya lack of upendo kuwa ni solution ya mahusiano yoyote duniani. Au kudeal na one part iwe just submissive hakuyafanyi mahusiano kuwa ya upendo ingawa yanaweza last a little bit longer

I like your balanced perspective (which I think it's the way it should be.)
 
Mwanzo umesema "mwanamke/mwanaume ukitaka kuheshimiwa waheshimu wengine..."

Sina tatizo hapo

Mbele kidogo ikawa ni mwanamke tu ndio aheshimu mwanaume na ajiheshimu?
Na hapa umepata support ya wanaume wengi sana maana inaonekana jukumu la kujiheshimu na kiheshimu wengine ni la wanawake tu.
Sieleweli sana hii kitu. Nafikiri ina mzizi zaidi ya malezi na dini tulizofundishwa.

Ninaamini kwenye UPENDO. Na upendo simaanishi "eros" ambao kwa nyie wanasayansi mnahusisha na hormone sijui dopamine au ule wa "philia". Ambao ni self centered. Ninamaanisha upendo wa agape ambao ni "others centered". Na hii ni task ya both men and women. Kila mtu akimpenda mwenzake hatuna haja ya kuhubiri kuheshimu wengine au kujiheshimu.

Kuna mtu katoa mfano wa mwanaume akicheat je mwanamke acheat pia? Why should a man cheat in the first place?

To me ningesisitiza upendo kwa pande zote mbili ndio muarobaini wa matatizo yote. Kuwa pessimistic na kuona ni next to impossible hakufanyi kudeal na one symptom ya lack of upendo kuwa ni solution ya mahusiano yoyote duniani. Au kudeal na one part iwe just submissive hakuyafanyi mahusiano kuwa ya upendo ingawa yanaweza last a little bit longer

u r absolutely right!mnaosema pande moja tu mnakosea,heshima ni kwa wote regardless of ur gender
 
Mie nijuavyo Mwanaume hupenda sana heshima kwasabb ya status yake kama kichwa cha familia (wale candidates wa mama ngaiza hapa tutatofautiana)

lakin pia heshima haiwez kuwepo kama huna upendo na unaye muheshimu.

wanawake wameumbwa kupendwa na hivyo huwez ukampenda mtu afu usimuheshimu.

Wanawake vinatuponzaga midomo, na panic za haraka haraka sana ambazo sio tu kwenye famili bali hata kazin. Ndio umesoma, una hela nk lie low maisha yaende sasa ukisahau kuwa mpole, mwenye kuskiliza zaid na mwenye hoja za kuweza kumconvice mtu kwa maneno yasokuwa na makelele kashfa mwanamke utaish miaka mingi sana kwa amani.
Kuna muda mwingine unatakiwa upriotize tu kwamba huyu kasema hivi kweli lkn je kwa amie kushout out inabadili alichokisema ama itafuta maneno maskion mwa watu?? ukipima ukiona haiwez then unatakiwa uache upepo upite kimya kimya maisha yako yasonge mbele.

Kwa wanaume mara nyingi sana hupandisha hasira wakijibiwa tena kwa jeuri, na hapa sasa ndipo ambapo wanawake huambulia kichapo ila kwa wenye hekima zao huwa wanamsoma mtu akiona tayari kesha loose temper basi anaamua kukaa kimya ama hata kuondoka mbele zake hadi hasira za huyu mtu ziishe.

Nilichogundua kwenye haya maisha wengi wetu hujikuta kwenye maugomvi, visasi, na mikasa mibaya just because hatuwez kutumia approach sahihi mbele ya jambo. na kubwa zaid wanaume wote hata awwe kichaa huwa anapenda zaid kuheshimiwa tu hata kama ukitafuta cha kumheshimu hukioni.

Kama slivyofanya mkemwema
Pamoja na yote, huyu ndio moyo wangu uliompenda

1.Ninakupenda sana,nikajitolea kwa kila kitu,nikakujali,nikakuheshimu, nikakuita “mume wangu “ nilikuita kwa kumaanisha,nlikuwa tayari kila unachosema nakifata,kila unachotaka nakufanyia,nikawa muwazi kwako,hisia zangu nikakuonyesha.Nikakupa mwili wangu na moyo wangu,nikakuambia usiniumize,usinitese,usininyan yase,nilichohitaji kwako ni amani tu na mapenzi.

Lakini sijaambulia ndani ya muda mfupi nimekuwa mtu wa kulia lia,kukashifiwa,kila baada ya siku 2 kuitwa Malaya,daaa sijui kosa langu kukupa mwili wangu,au nini ukaona hayo yote vituko vyako vya nyuma havitoshi ukaamua kunipiga,kunidhalilisha,kunfuk uza kwako asubuhi asubuhi na nlikuambia mdogo wako anaondoka ndo mda mzuri wa kuspend mimi na wewe this weekend sina kazi job nataka kukaa mpaka jumapili ila ukazua safari na kuntoa kwako kumbe unaratiba zako.

Shuka tuliolalia asubuhi na kufanya sex ndo hilo hilo ukakalia na mwingine,ahsante sana.
Kumbe nikija kwako nkitoka kumbe kuna wengine wanakuja.

Kwa nini umenfanyia hivi?nlikuwa na mpenzi nikamuacha sababu sikutaka na sijui kuchanganya wanaume siku ya kwanza kulala na wewe tarehe 31/1/2015 ndo nikaacha rasmi mahusiano na Yule mtu mwenyewe hakukata tama mpaka akaniletea cash 5,000,000 na mie niongezee nlizonazo niende nazo kwao Uganda nikafanye

biashara iliniwia wakati mgumu sana,Yule mwanaume nlimjua October 2013 ana vimakosa kosa vyake ila si ila nikaamua kuwa na wewe na nikamuambia ukweli japo hakutaka kukata tama ila ikabidi azoee.
Kama ulikuwa unataka tu ngono kudanganyana usingeniharibia future yangu,leo hii nakopa hela ofisini nachenga maboss wasijue ili tu utimize malengo yako,lakini kumbe uliniona mimi sifai,siyo chaguo lako.

1.Kila ukisema unatoka out au unasafiri,giza likiingia tu nikipiga simu,nikituma msg simu hupokei wala msg hujibu.Weekend ambayo nimetoka kwako au sijaja nayo kukupata kwa simu ni matatizo.

Usiku mzima na hata ukiamka hupigi mpaka ukifika ofisini kwako ndo unanipigia.Kiukweli nilihisi kuna mambo unayafanya hayako sawa,kuna vitu unavifanya na nikawa nahisi tu unakuwa na wanawake ila nikawa najipa moyo kwa kuwa siyaoni.
Ulitibiwa gono sijui kaswende tena nlikutibia mien je ya mkoa kwa pesa yangu hukulipa nauli wala nini sh 10 hukutoa baada ya hayo nikajua utabadilika kujilinda na kunilinda kama kawaida nlikuwa najidanganya tu.

Hukuwahi kuniambia kuwa umeoa mpaka siku ile mama yako mdogo akaropoka kwa gar indo nikaujua ukweli.

2.Uhusiano wetu ulikuwa na masharti mengi sana uliyowaweka ila nikavumilia kwa kujua mambop yatakaa sawa mbeleni kumbe nlikuwa nbajidanganya.Sijui kwa nini sikuona ukweli tokea mwanzo kwamba ulinichukulia mimi Malaya,mwanamke wa starehe.

3.Nilipokuja kwako ulininyanyasa,kitendo cha kuingia mlangoni tu na kuniona unakunja sura,unanifokea,unanidhalilish a unanitukana.
Hakuna siku nliyoumia kama siku ile umerudi usiku,nikawa nakupigia simu hupokei,msg hujibu tukapiga na mdogo wako chips tukasema tukubakishie sie tule mkate ila ukaja ukantolea maneno ya kipuuzi,kifedhuli
kejeli,matusi,na kutaka kunifukuza usiku usiku niende kwangu umesahau kuwa nina nyumba nzuri kukushinda kitanda cha kisasa na na duvet za maana ila natoka kwangu kukufata wewe kwa mapenzi yangu na unajua nachohitaji ni amani tu.

Nliumia sana,kitandani nikawa nalia badala hata ya kunbembeleza au kunyamazisha bado ukaendelea na kunifokea na kunitukana kundhalilisha.

Nlishakuambia mie nimekukosea niambie ndani tuongee wawili tu ila usinidhalilishe mbele ya wadogo zako ila mwenzangu inaelekea ndo maisha yako uliyozoea hutoweza kubadilika.

4.Haya ukasema nsipike mpaka nikuulize unachokula,nikafanya siku ya kwanza ukasema chochote lakini ukarudi hukula japo ulisema una njaa sana,nikahisi labda nimepika vibaya,siku ya pili ukasema nsubiri ukifika home ndo utasema npike nini,nikasubiri mpaka late sana ukarudi ukasema huli japo hukumbuki kuwa tumeshinda njaa hatujapika tunasubiri jibu lako.

Siku ya tatu hivyo hivyo nakuuliza unakula nini unasema nisubiri nikasubiri matokeo yake ukaturudia saa 6 kasoro usiku ukiwa una toothpick mmdomoni na kusema umeshiba unaitaji kulala mhhh hapo mien a wadogo zako tumeshinda njaa hata kupika hatujapika.

5.Siku wewe ukinihitaji nije kwako au ukaniita kwa mapenzi sana au ukanpokea kwa mapenzi sana na tukashinda hujanifokea wala kuntolea maneno mabaya wala sura hujaikunja basi hapo najua usiku wake au alfajir au asubuhi kabla sijaondoka utataka hela.

Mhhhh hili lilinipa wasiwasi how come kila mara inatokea hivi ?je ningekuwa mimi nakuomba hivyo hizo hela ungenipa? Si ungeniambia nimekuja kwako kufata hela?tena ndo ungeniita Malaya nayejiuza kabisa.Ila mie nlikuchukulia kama mwenzangu nkuvumilie kipindi hiki unachorekebisha nyumba,niwe msaada kwako.

6.Mimi kama mwanamke najisikia raha sana kama napewa nauli,najaziwa mafuta ya gari hata ya 20,000 tu natolewa out kunywa soda siku moja moja,naonyeshwa kujaliwa kwa matendo,nasikilizwa.Lakini tokea nikujue hata siku moja hujawahi kunilipia boda boda wala tax.

Mbaya zaidi siku unanifata kwa my friend Husna usiku upo na Kaka yako ukasema niweke mafuta unirudishe nlitoa hela japo iliniuma sana jamani nipo kwa rafiki yangu,nataka kukaa nae siku nyingi,unataka unrudishe kwangu mhhh na mafuta pia nijilipie.

Mambo uliyokuwa unanifanyia sikuwahi kumwambia hata mtu hata Husna siwezi kumwambia ni aibu maana najua kila mtu atasema hapo hakuna mwanaume,unapoteza muda na mimi ni bora niumie kuliko mtu mwingine anidharau.

7.Kwenye birthday yako ulisema ulitenda mabaya sana nyuma uovu mwingi sana,ila umetimiza miaka 32 na siku nile tarehe 14/1/2015 umeamua kufuta yote sasa na kuyaacha.

Nlifurahi na baada ya mda ukawa ndo kauli yako hiyo na ukaniandikia barua mama yako wa hiari alipofariki kuwa unahitaji mke kuanzia siku ile nikashangaaa tena weekend mke anaambiwa kuwa hukutakiwa uende pale mhhh

8.Ndani ya siku 68 nlizokujua nimetumia pesa nyingi sana cash nlizokupa nilikupigia mahesabu kwa haraka haraka 5,750,000 cash za safari mkoa kama 500,000 za tax mhhhhh zaidi ya laki 2,zingine matumizi ambayo mengi madogo madogo siyakumbuki ni kama jumla 7,000,000 kwako wewe hata sh kumi hujatoa japo kunjazia mafuta ya 8,000 hujawahi au ukiwa na gari langu nkipanda bodaboda kunlipia 3,000 hujawahi.

Japo nlishtuka sana kuona matumizi hayo kwa mda mfupi tokea nikujue nikaona hapa ninakomeshwa na huyu mwanaume keshaona kapata Saccoss nikafanya akili nikatoa akiba zangu bank zote na kuziweka kwenye biashara japo wewe ni mwanasheria lakini msaada wa kuandaa mikataba kisheria hukunipa mpaka nikaenda ofisi ya maadvocates wengine nikalipa na kufanya mambo kisheria(aibu sana maana wanajua mien a wewe tunamahusiano)

Ila umenifundisha kitu kuwa mwanaume anayekuomba pesa/kukopa pesa siku ya pili baada ya kusex toka mjuane nimuogope sana nimkimbie kama ukoma ina maana huyo amekuja na malengo yake ni hatari sana siyo kama amekuja kimapenzi.

Pia mwanaume asiyemhudumia mwanamke hata kwa nauli tu hawezi kuwa na uchungu nae hata kidogo wala hawezi kumthamini.

9.Ijumaa tarehe 13/3/2015 nikasema nije kwako kuspend weekend mpaka jumapili kwa kuwa nimepata msaidizi na mie nienjoy weekend na mume wangu kipenzi.Wakati nakuja ndo ukanipigia nikakuambia nakuja,ukasema poa.

Nikakukuta umelala nikakuacha ukaamka na neon lako ni sikutaka uje huku leo blab la kibao wakatimadogo wamesafiri ndo mda sahihi wa mimi na wewe kufurahia nikakasirika sana nikajiona kumbe najipendekeza sana,kwako sina umuhimu nikataka kuondoka nikaita bodaboda ila ukajiongelesha weeee nikabakikumbuka

Hapo unatumia gari yangu limekuwa lako mie tena wa bodaboda au tax.Tukalala hata kunigusa ukashindwa mhhh kumbe unakusanya nguvu za mwingine au nguzu zilikuisha kwa mwingine mie ukaniona mzigo tu nliyekuharibia ratiba zako.

Ukavumilia asubuhi jumamosi ukasema una mizunguko nikasema poa utaenda utanikuta mhhh ukaona huyu anaharibu sasa ikabidi utunge story ya safari na mgeni nikasema poa nikaondoka hospital maana nilikuwa naumwa nikasema sina pesa ya hospital inapungua kwa kujua labda utaniongezea hata kidogo nikasema nitaenda kutoa bank pesa bila aibu ukasema ukitoa nirushie 10,000 kwa kuwa nlishajua nia yako nikakuambia kuwa sina hiyo hela.Nikaondoka.

Mchana ukawa unataka kujua sana nipo wapi ili ufanye mambo yako kwa amani,mhhhh nikapima mimba nikakuambia majibu.Hta kamsg kauongo tu kafupi kuwa tupo wote hakuna.

Na mie nikaacha kukuuliza saa 1 kuelekea saa 2 usiku mie na Husna tukachanga na kwenda kula hotel wakati tunatoka nikaona gari lile langu limepita mpaka aibu Husna akauliza si gari lako lile nikajibu mhhh huwa yanafanana langu halipo mjini kuua soo japo nlijua ni langu.

Sikumuambia hata Husna nikafika kwake nikapumzika nikawa nakucall kukuuliza upo wapi hukupokea,msg hujibu mhhh nikawaza kwani boda sh ngapi ?ngoja niende kama ni yeye nijue why kanidanganya safari kumbe yupo.

Mhhh nafika namkuta kidada mhhhh kimejiachia kwa kochi nikamuuliza upo wapi akasema umetoka nikauchuna,nikaingia ndani nikakuta kitanda rough nzima kitanda kizima kimevurugika.

Mhhhh nikakaa nakusubiri kufika tu na kufungua mlango kuniona ukakunja sura,nikakufata jikoni nikakuuliza umerudi saa ngapi hukujibu nikakuuliza huyu dada nani ukanjibu kwa jeuri kuwa ‘unaonaje’ mhhh nikaona sina nachokiona tu hiko hiko na jibu nishajibiwa.

Nikakuambia nakuomba nje mhhhh na maana sikutegemea nguvu zikaniishia badala ya kuwa msaada wangu na nikaanza kukumbuka siku ambazo nakupigia hupokei usiku,unasema unasafiri nkikupigia hupokei,unasema umeenda out kuenjoy nakupigia hupokei.

Nikaona kumbe ndo kawaida yako mhh nikakuambia nachohisi kwa moyo wangu nikaambulia matusi,kofi la sikio mpaka damu,mateke ukaniangusha chini,nikabaki uchi.

Ukaniacha ukaondoka,nikapanda boda hata Husna sikutaka anione hivyo maana alikuwa ananionya sana kuhusu wewe.Nikaenda hotel mhh eti unauliza nipo hotel gani nakuwaambia wadogo zako wanitafute kwa simu ili ujue npo hotel gani uje na ukawaambia nirudi kwako

Nirudi kwako kweli mie kurudi kwako baada ya kunfanyia siku ile ?ukaanza kusema eti siwezi kukataza ndugu na rafikizo kuja kwako haaa nlikukataza si nlitaka kumjua nani ila ukanpiga na matusi juu.

Eti ukaniambia kama simini tukalale hotel.Mhhh nakupenda sana ila mie si kichaaa badala ya yote hayo nitoe hela yangu tukalale hotel?

Sitoisahau maana sijawahi kudharauliwa kama wewe ulivyonfanya??Machozi ya mtu hayaendi bure mie najiepusha sana kumliza na kumuumiza mtu kwa mapenzi.

Sikutegemea kuwa unaweza kulala na mwanamke kitanda nilicholala mie,shuka tuliolalia wote asubuhi na kunikojoza akalalia mwanamke mwingine .Ndo maana hata nikaishiwa nguvu ingekuwa guest sawa maana ingekuwa nimekufuata mie ila pale nakuja unaniita mke wangu,blab la kumbe unanichoresha kwa marafiki na ndugu zako.

10.Maradhi mengi sana siku hizi umeniogopesha na sijui hali yangu kwa sasa ulikataa kupima Mwanza kwa kujua tabia zako.
Baada ya hayo yote je unaona nastahili kweli na kuweza kusahau niwe na wewe?

Hata huyo mwanamke utakayemuona naomba usimfanyie hayo yote maana ataishi kwa uchungu sana na haitofutika mwisho wa siku yale ya mke wako yatajirudia.

Ila pamoja na yote nakupenda sana hayo juu naeleza ukweli na kutumia akili kufikiri si moyo ila moyoni kwangu nakupenda sana,nakuhitaji bado una nafasi ya pekee sana kwangu najua si wewe ni kwa kuwa umekutana na wanawake waovu kwenye dunia hii ndo wamekufanya hivyo.

Ila ni muda tu unahitajika hata uwe na wanake 20 uzae watoto 30 mie nakupenda sana na kila siku naomba kwa mungu ubadilike uwe mwema tuishi kwa amani na upendo.Na sitokuacha kamwe mpaka unitamkie hunitaki au ufunge ndoa ndo nitakuacha.

Nakupenda jamani mapenzi yananitesa.nimekusamehe kwa yote. Naomba mungu akubadilishe nlishasema wewe ni mwanaume wangu wa mwisho na sitolala na mtu au kumpenda mwingine mpaka ukinitamkia hunitaki au ukishaoa
 
Last edited by a moderator:
Mie nijuavyo Mwanaume hupenda sana heshima kwasabb ya status yake kama kichwa cha familia (wale candidates wa mama ngaiza hapa tutatofautiana)

lakin pia heshima haiwez kuwepo kama huna upendo na unaye muheshimu.

wanawake wameumbwa kupendwa na hivyo huwez ukampenda mtu afu usimuheshimu.

Wanawake vinatuponzaga midomo, na panic za haraka haraka sana ambazo sio tu kwenye famili bali hata kazin. Ndio umesoma, una hela nk lie low maisha yaende sasa ukisahau kuwa mpole, mwenye kuskiliza zaid na mwenye hoja za kuweza kumconvice mtu kwa maneno yasokuwa na makelele kashfa mwanamke utaish miaka mingi sana kwa amani.
Kuna muda mwingine unatakiwa upriotize tu kwamba huyu kasema hivi kweli lkn je kwa amie kushout out inabadili alichokisema ama itafuta maneno maskion mwa watu?? ukipima ukiona haiwez then unatakiwa uache upepo upite kimya kimya maisha yako yasonge mbele.

Kwa wanaume mara nyingi sana hupandisha hasira wakijibiwa tena kwa jeuri, na hapa sasa ndipo ambapo wanawake huambulia kichapo ila kwa wenye hekima zao huwa wanamsoma mtu akiona tayari kesha loose temper basi anaamua kukaa kimya ama hata kuondoka mbele zake hadi hasira za huyu mtu ziishe.

Nilichogundua kwenye haya maisha wengi wetu hujikuta kwenye maugomvi, visasi, na mikasa mibaya just because hatuwez kutumia approach sahihi mbele ya jambo. na kubwa zaid wanaume wote hata awwe kichaa huwa anapenda zaid kuheshimiwa tu hata kama ukitafuta cha kumheshimu hukioni.

Bravo! Mwanamke msikivu atajifunza jambo hapa.
^^
 
Kama slivyofanya mkemwema
Pamoja na yote, huyu ndio moyo wangu uliompenda

1.Ninakupenda sana,nikajitolea kwa kila kitu,nikakujali,nikakuheshimu, nikakuita "mume wangu " nilikuita kwa kumaanisha,nlikuwa tayari kila unachosema nakifata,kila unachotaka nakufanyia,nikawa muwazi kwako,hisia zangu nikakuonyesha.Nikakupa mwili wangu na moyo wangu,nikakuambia usiniumize,usinitese,usininyan yase,nilichohitaji kwako ni amani tu na mapenzi.

Mhhhh nikakaa nakusubiri kufika tu na kufungua mlango kuniona ukakunja sura,nikakufata jikoni nikakuuliza umerudi saa ngapi hukujibu nikakuuliza huyu dada nani ukanjibu kwa jeuri kuwa ‘unaonaje' mhhh nikaona sina nachokiona tu hiko hiko na jibu nishajibiwa.

Nikakuambia nakuomba nje mhhhh na maana sikutegemea nguvu zikaniishia badala ya kuwa msaada wangu na nikaanza kukumbuka siku ambazo nakupigia hupokei usiku,unasema unasafiri nkikupigia hupokei,unasema umeenda out kuenjoy nakupigia hupokei.

Nikaona kumbe ndo kawaida yako mhh nikakuambia nachohisi kwa moyo wangu nikaambulia matusi,kofi la sikio mpaka damu,mateke ukaniangusha chini,nikabaki uchi.

Ukaniacha ukaondoka,nikapanda boda hata Husna sikutaka anione hivyo maana alikuwa ananionya sana kuhusu wewe.Nikaenda hotel mhh eti unauliza nipo hotel gani nakuwaambia wadogo zako wanitafute kwa simu ili ujue npo hotel gani uje na ukawaambia nirudi kwako

Nirudi kwako kweli mie kurudi kwako baada ya kunfanyia siku ile ?ukaanza kusema eti siwezi kukataza ndugu na rafikizo kuja kwako haaa nlikukataza si nlitaka kumjua nani ila ukanpiga na matusi juu.

Eti ukaniambia kama simini tukalale hotel.Mhhh nakupenda sana ila mie si kichaaa badala ya yote hayo nitoe hela yangu tukalale hotel?

Sitoisahau maana sijawahi kudharauliwa kama wewe ulivyonfanya??Machozi ya mtu hayaendi bure mie najiepusha sana kumliza na kumuumiza mtu kwa mapenzi.

Sikutegemea kuwa unaweza kulala na mwanamke kitanda nilicholala mie,shuka tuliolalia wote asubuhi na kunikojoza akalalia mwanamke mwingine .Ndo maana hata nikaishiwa nguvu ingekuwa guest sawa maana ingekuwa nimekufuata mie ila pale nakuja unaniita mke wangu,blab la kumbe unanichoresha kwa marafiki na ndugu zako.

10.Maradhi mengi sana siku hizi umeniogopesha na sijui hali yangu kwa sasa ulikataa kupima Mwanza kwa kujua tabia zako.
Baada ya hayo yote je unaona nastahili kweli na kuweza kusahau niwe na wewe?

Hata huyo mwanamke utakayemuona naomba usimfanyie hayo yote maana ataishi kwa uchungu sana na haitofutika mwisho wa siku yale ya mke wako yatajirudia.

Ila pamoja na yote nakupenda sana hayo juu naeleza ukweli na kutumia akili kufikiri si moyo ila moyoni kwangu nakupenda sana,nakuhitaji bado una nafasi ya pekee sana kwangu najua si wewe ni kwa kuwa umekutana na wanawake waovu kwenye dunia hii ndo wamekufanya hivyo.

Ila ni muda tu unahitajika hata uwe na wanake 20 uzae watoto 30 mie nakupenda sana na kila siku naomba kwa mungu ubadilike uwe mwema tuishi kwa amani na upendo.Na sitokuacha kamwe mpaka unitamkie hunitaki au ufunge ndoa ndo nitakuacha.

Nakupenda jamani mapenzi yananitesa.nimekusamehe kwa yote. Naomba mungu akubadilishe nlishasema wewe ni mwanaume wangu wa mwisho na sitolala na mtu au kumpenda mwingine mpaka ukinitamkia hunitaki au ukishaoa
Kaunga aya ya mkemwema siyo manake ata huko kua na heshima kuna jinsi ya kuenenda sio kuendeshwa kama gari bovu tu
 
Last edited by a moderator:
Kaunga aya ya mkemwema siyo manake ata huko kua na heshima kuna jinsi ya kuenenda sio kuendeshwa kama gari bovu tu
Umeona eeh, kumbe sio solution ya kila uhusiano.
Inahitaji upendo wa pande zote mbili ili maisha yaende
 
Last edited by a moderator:
Mie nijuavyo Mwanaume hupenda sana heshima kwasabb ya status yake kama kichwa cha familia (wale candidates wa mama ngaiza hapa tutatofautiana)

lakin pia heshima haiwez kuwepo kama huna upendo na unaye muheshimu.

wanawake wameumbwa kupendwa na hivyo huwez ukampenda mtu afu usimuheshimu.

Wanawake vinatuponzaga midomo, na panic za haraka haraka sana ambazo sio tu kwenye famili bali hata kazin. Ndio umesoma, una hela nk lie low maisha yaende sasa ukisahau kuwa mpole, mwenye kuskiliza zaid na mwenye hoja za kuweza kumconvice mtu kwa maneno yasokuwa na makelele kashfa mwanamke utaish miaka mingi sana kwa amani.
Kuna muda mwingine unatakiwa upriotize tu kwamba huyu kasema hivi kweli lkn je kwa amie kushout out inabadili alichokisema ama itafuta maneno maskion mwa watu?? ukipima ukiona haiwez then unatakiwa uache upepo upite kimya kimya maisha yako yasonge mbele.

Kwa wanaume mara nyingi sana hupandisha hasira wakijibiwa tena kwa jeuri, na hapa sasa ndipo ambapo wanawake huambulia kichapo ila kwa wenye hekima zao huwa wanamsoma mtu akiona tayari kesha loose temper basi anaamua kukaa kimya ama hata kuondoka mbele zake hadi hasira za huyu mtu ziishe.

Nilichogundua kwenye haya maisha wengi wetu hujikuta kwenye maugomvi, visasi, na mikasa mibaya just because hatuwez kutumia approach sahihi mbele ya jambo. na kubwa zaid wanaume wote hata awwe kichaa huwa anapenda zaid kuheshimiwa tu hata kama ukitafuta cha kumheshimu hukioni.

Power to you madame,.....
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Back
Top Bottom