Usiruhusu jamii ikupumbaze ukakubali kuwa retirement plan.

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,326
Reaction score
40,641
Alivyokua 20's, kwenye kilele chake cha uzuri, bado hajaguswa. Wanaume wenye malengo na wanaothamini thamani yake walimfuata, lakini jamii iliwasakama wanaume hao kwa kuwaita fataki, wahalibifu na kusema kwamba binti uyo bado mdogo.

Huku binti mwenyewe akisema hayupo tayari kuolewa anataka uhuru wa kufanya mambo yake. Huo uhuru unaongelewa hapo ni code ya kuishi kuishi reckless. Sleeping with street boys, vibing with thugs and chasing useless trends.

Sasa yupo 30+, single mother, namba ya body count ambayo inafichwa kwa ulinzi mkali sana, trauma, chuki, delusion, abortions zisizokua na idadi, ego, addiction to independence, no accountabikity, no ferminity. Bad enough she believes you owe her love for surviving the chaos she created

Ghafla anataka real man/gentleman(code name ya simp), sasa ashapevuka kiakili yupo tayari kutulia kwenye ndoa na batch ya wanaume wale wale ambao aliwafungia vioo akiwa kwenye prime-age yake. Sasa anatafuta mwanaume wa kumponya trauma zake na kukubali kuwa baba wa kambo wa mtoto/watoto wake. Please brothers, don't be that man.

Kumbuka hapa jamii ile ile iliyokuambia huyo mwanamke bado mdogo wakati akiwa fresh and beatfull pale kwenye 20's sasa hivi itakwambia past doesn't doesn't matter,man up, watu wanabadilika na misemo mingine ya kipumbavu. Tunaishi kwenye ulimwengu wa kipumbavu ambao unamtaka mwanaume ajenge himaya yake halafu haikabidhi kwa mwanamke wa hovyo bila kuhoji, na ukisema tu unataka mwanamke mtiifu na bikira utaambiwa una inferiority complex na upuuzi mwingine. Wapuuze hao wajinga.

Unastahili mwanamke anaethamini uongozi wako, jina lako, hustles zako na sacrifices zako kuanzia mwanzo sio yule ambae anakuja kujishikiza tu baada ya kutumia prime yake vibaya na sasa hana options. Wapo wanawake wazuri waliojitunza kwenye jamii. Ondoa hiyo scarcity mindset yako utawapata tu. Usijifanye mkombozi kwenye maisha ya damaged woman.

You want peace, respect, purity, loyalty, submission and legacy. Then go where those traits still live, and that is in a young, untouched and unspoiled woman. Not a 30+ feminist who arleady seen more battles than a retired soldier.

Don't be a simp
 
100% vijana wasikubali kwa kweli
 
Back
Top Bottom