Unataka heshima? Waheshimu wengine kwanza

Unataka heshima? Waheshimu wengine kwanza

Kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba matendo ya wengine kwako yana akisi wewe ulivyo...kwa maana nyingine ni kwamba unavyojiweka ndivyo watu watakavyo kuchukulia....jambo lolote linaanza na wewe haijalishi liwe baya au zuri....vile ambavyo unawatendea watu ndivyo hivyo hivyo na wewe utakavyo tendewa...

.ukiwaheshimu watu na kuwatendea mazuri, bila shaka watu watafurahia uwepo wako popote utakapo kuwepo chini ya jua....ukijiheshimu na kuheshimu wengine bila kujali hali zao za maisha wala muonekano wao bila shaka utapata heshima yako popote utakapokuwa chini ya jua......

kuna wanoashangaa kuwa ni jinsi gani mtu Fulani hutokea kuwa kipenzi cha watu....watu wengine hustaajabu kwanini mtu Fulani hutokea kuheshimiwa sana na watu.....KILA KITU KINAANZA NA WEWE............
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kichwa ya habari haiko sawa ukilinganisha na maudhui...

Mi naona it's supposed to be, "Ukitaka heshima, heshimu wengine kwanza"...

Sawa ni wazo zuri mods wanaweza kubadili...nimejaribu kubadili lkn sina access hio.
 
narevange in the same way alivyonifanyia

hiyo miss chagga inaweza iwe nzuri au isiwe nzuri..imagine katika mahusiano labda nimekusaliti..ukitaka kurevenge the same way utaamua kutembea nje, si ndio?...sasa hapo utakuwa unaharibu kwa sababu
Kwanza unaweza pata magonjwa na kututeketeza wote (labda mimi I played it safe)

Pili utakuwa unacheza na feeling za mtu mwingine ambaye anaamini kapata mpenzi kumbe we umempa mbunye ili kuni-revenge..unaona?
tatu utakuwa unadefile your beautiful body kwa sababu tu ya kunikomoa
Nne Mungu atakuandikia dhambi bila kujali kama it was revenge or not

We better be carefully on how we set the scores Miss Chagga!!
 
Ivenosa mama, uko wapi..njoo pm nikuage nataka nikapige msele kidogo my carpet, my ceiling board, my perfume, my heart-attack, my life, my washing brush, my kila kitu!!!
 
You are wrong Luv. The way I know gorgeousmimi from reading her posts she is not a person to target a single person...Unajua hivi vitu ni kama mahubiri...mhubiri yeyote anayeijua kazi yake na aina ya watu anaowahubiria akitoa mahubiri iwe masjid au kanisani basi several people huwa wanawaza "hivi huyu jamaa huwa anafuatilia mienendo yangu au?"

Point ni kwamba katika jamii huwa watu walewale wanafanya mambo yaleyale..after all cant you see wanawake wengi (sio wote) wana matatizo hayo?

Baada ya hapo, once again gorgeousmimi, you have well exercised those cells in your brain..una akili kama watu wa Bukoba

Thumbs up (mikono ishaanza kuniuma kwa ku-clap)

Sijui kwanini watu wanapenda kupersonalize vitu..Thanks Capt Nemo
 
Last edited by a moderator:
hizi busara zako zinanifanya nifikirie kuongeza mke wa pili..can u plz be my second wife??..ukikubali ntakuzawadia meli na bahari yake
 
Back
Top Bottom