Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,400
babu unaharibu...hiyo laana babu
Hahahaha mjukuu ni mke wa babu usisahau.
babu unaharibu...hiyo laana babu
why dia?
basi babu ntakuja tupigiane hesabu gharama ulizozitumiaHahahaha mjukuu ni mke wa babu usisahau.
Mie nijuavyo Mwanaume hupenda sana heshima kwasabb ya status yake kama kichwa cha familia (wale candidates wa mama ngaiza hapa tutatofautiana)
lakin pia heshima haiwez kuwepo kama huna upendo na unaye muheshimu.
wanawake wameumbwa kupendwa na hivyo huwez ukampenda mtu afu usimuheshimu.
Wanawake vinatuponzaga midomo, na panic za haraka haraka sana ambazo sio tu kwenye famili bali hata kazin. Ndio umesoma, una hela nk lie low maisha yaende sasa ukisahau kuwa mpole, mwenye kuskiliza zaid na mwenye hoja za kuweza kumconvice mtu kwa maneno yasokuwa na makelele kashfa mwanamke utaish miaka mingi sana kwa amani.
Kuna muda mwingine unatakiwa upriotize tu kwamba huyu kasema hivi kweli lkn je kwa amie kushout out inabadili alichokisema ama itafuta maneno maskion mwa watu?? ukipima ukiona haiwez then unatakiwa uache upepo upite kimya kimya maisha yako yasonge mbele.
Kwa wanaume mara nyingi sana hupandisha hasira wakijibiwa tena kwa jeuri, na hapa sasa ndipo ambapo wanawake huambulia kichapo ila kwa wenye hekima zao huwa wanamsoma mtu akiona tayari kesha loose temper basi anaamua kukaa kimya ama hata kuondoka mbele zake hadi hasira za huyu mtu ziishe.
Nilichogundua kwenye haya maisha wengi wetu hujikuta kwenye maugomvi, visasi, na mikasa mibaya just because hatuwez kutumia approach sahihi mbele ya jambo. na kubwa zaid wanaume wote hata awwe kichaa huwa anapenda zaid kuheshimiwa tu hata kama ukitafuta cha kumheshimu hukioni.
Ha ha ha....nimefurahi kusikia kwamba tupo mstari mmoja.Ujumbe huu ni wa wote!Uliyosema Ni kweli ila nikama unampa dongo shem wetu
hizi busara zako zinanifanya nifikirie kuongeza mke wa pili..can u plz be my second wife??..ukikubali ntakuzawadia meli na bahari yake
Hahaha siku hizi naona unatusomesha vizuri na mada zako.
A real woman of virtue need to have class.gorgeousmimi
ok MJ..wishing u best of luckNope...I want to be someones first choice and priority....
Ahsante asakuta same....maisha ni safari ndefu ya mwanaadamu na sina budi kusema tunajifunza vitu vipya kila kukicha ni kweli nimejifunza,najifunza na nitaendelea kujifunza kila kukicha kupitia kwenye makosa yangu na ya wengine na experience ya maisha haya.What we all need is inspiration and i have achieved that!Ahsante kwa mchango wako kwenye uzi huu!Hahaha siku hizi naona unatusomesha vizuri na mada zako.
Siyo kwamba sehemu zingine sijazikubali , ila huo mstari una ujumbe mzito Sana kwa wanawake aseeeeeh, napenda Sana mwanamke anayetambua thamani yake , anayetambua heshima ni nini , majibu wake na haki zake na asipozipata adai vipi.
Nje ya hapo unaonekana takataka , mchafu n.k.
Mwanamke kujitambua ni muhimu.
Mie nijuavyo Mwanaume hupenda sana heshima kwasabb ya status yake kama kichwa cha familia (wale candidates wa mama ngaiza hapa tutatofautiana)
lakin pia heshima haiwez kuwepo kama huna upendo na unaye muheshimu.
wanawake wameumbwa kupendwa na hivyo huwez ukampenda mtu afu usimuheshimu.
Wanawake vinatuponzaga midomo, na panic za haraka haraka sana ambazo sio tu kwenye famili bali hata kazin. Ndio umesoma, una hela nk lie low maisha yaende sasa ukisahau kuwa mpole, mwenye kuskiliza zaid na mwenye hoja za kuweza kumconvice mtu kwa maneno yasokuwa na makelele kashfa mwanamke utaish miaka mingi sana kwa amani.
Kuna muda mwingine unatakiwa upriotize tu kwamba huyu kasema hivi kweli lkn je kwa amie kushout out inabadili alichokisema ama itafuta maneno maskion mwa watu?? ukipima ukiona haiwez then unatakiwa uache upepo upite kimya kimya maisha yako yasonge mbele.
Kwa wanaume mara nyingi sana hupandisha hasira wakijibiwa tena kwa jeuri, na hapa sasa ndipo ambapo wanawake huambulia kichapo ila kwa wenye hekima zao huwa wanamsoma mtu akiona tayari kesha loose temper basi anaamua kukaa kimya ama hata kuondoka mbele zake hadi hasira za huyu mtu ziishe.
Nilichogundua kwenye haya maisha wengi wetu hujikuta kwenye maugomvi, visasi, na mikasa mibaya just because hatuwez kutumia approach sahihi mbele ya jambo. na kubwa zaid wanaume wote hata awwe kichaa huwa anapenda zaid kuheshimiwa tu hata kama ukitafuta cha kumheshimu hukioni.
This is a blessed week....mada zako za wiki hii acha tuuu...HONGERA ZAKO #gorgeousmimi