Unataka au hutaki😉

Mkuu hii haina season two?
 
Haya ngoja tuone
Vp nane nane
Kazi zinaendelea
Wananchi wanaendelea kumiminika viwanjani kufurahia na kushuhudia mapinduzi na maendeleo yaliyofanywa na serikali ya Daktari Samia hususani kwenye sekta kilimo, uvuvi na ufugaji hali kadhalika kwenye suala zima la usindikaji wa bidhaa za kilimo na ufugaji.
Hakika mwamko na mwitikio ni mkubwa sana.
Elimu na huduma mbalimbali zinatolewa kwa viwango vya kuridhisha
 
Safiii sana furahieni maonensho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…