Unataka au hutaki😉

Yes babu piga kazi wajukuu tutakula mafao ukiwa mzee sana

Ni kweli, succession plan ni jambo zuri, mimi pia nakula "mafao" ya babu na baba zangu. Wameniambia nihakikishe na nyie wajukuu mnakuta "mafao" hayo. 😊
 
Hivi na nyie mkipata ndoto nyevu mnachafua shuka?
 
Ni kweli, succession plan ni jambo zuri, mimi pia nakula "mafao" ya babu na baba zangu. Wameniambia nihakikishe na nyie wajukuu mnakuta "mafao" hayo. 😊
Very nice tengeneza mazingira
 
Mambo yamekua 3🔥🔥

Argentina anakutana na timu mbovu.
Mo Salah alivyofanyiwa ndani ya box, ingekuwa upande wa Argentina ingekuwa penati.😊
Goli la pili la Misri, ingekuwa ni Argentina, lisingekataliwa. 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…