Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,718
- 3,295
As long as unaishi, wewe changia tu kuna mtu atajifunza toka kwakoTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
As long as unaishi, wewe changia tu kuna mtu atajifunza toka kwakoTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Swala sio kupata mwanamke wa 2000 jambo la msingi atakuheshimu? atakuwa na utii kwako ? maana ndio msingi wa ndoa kama jibu ndio nazani huyo mwanamke utatumia muda mrefu sana kumpata na sio kirahisi kama wewe unavyoongeaDunia ina kila Aina ya wanawake , nenda maporini uko , Nani kakudanganya ndoa zote hapa mjini ni za mamilioni na maelf ??? Tatizo hao wa 2000 hamuwataki mnataka pisi kali zenye matunzo ghali na pesa hamna
Kaandika kirahisi sana yaani mwanamke wa 2000 tena awe na sifa ya mke 🤣🤣 weeSwala sio kupata mwanamke wa 2000 jambo la msingi atakuheshimu? atakuwa na utii kwako ? maana ndio msingi wa ndoa kama jibu ndio nazani huyo mwanamke utatumia muda mrefu sana kumpata na sio kirahisi kama wewe unavyoongea
Hahahaaaa anasa?KUOA
Pori gani hilo?Dunia ina kila Aina ya wanawake , nenda maporini uko , Nani kakudanganya ndoa zote hapa mjini ni za mamilioni na maelf ??? Tatizo hao wa 2000 hamuwataki mnataka pisi kali zenye matunzo ghali na pesa hamna
Tafta wa size yako boss utaishia kulaumu bure , watu wanatoka mkoani wanaoa pisi kali za DSM , na watu wanatoka DSM wanaoa mkoani , ndege wanaofanana huruka pamoja , mnawaona watoto wanapendeza we unaibuka na visent vyako vya ualimu lazima ugongewe tuu watu wanagharamia, kama unaweza kugharamia it is okay , huwez kaoe vigunguti huko wapo mpak wa ndoa za ubani wa sh 300 na lyfe linaenda...Pori gani hilo?
Makadirio
____________
1.Unaishi Dar na hujawahi toka nje ya Dar.
2.elimu' form 2
3. Umri' hujafika miaka 25
4. KKB (kula kulala bure)
Sio kosa lako kuwaza hivyo...na km hiyo assumption ipo wrong basi una changamoto ya akili.
Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
Sasa asipokuwa na pesa atahudumiaje familia mkuu!?pesa ni muhimu uwe nazo za kumudu familia, mkishakuwa mke na mume mtegemee kupata wageni wa kutosha sasa cjui utawalisha nn muda ambao baraka hazijafunguka.!Vijana wenzangu kuoa sio mpaka uwe na pesa.
Pesa zipi ukipata ndio utaoa,? Na usipozipata hizo pesa ndo tuseme hutooa? Inabidi ujue Usipooa pia baraka haziji
Sasa umekaa na mtoto wa watu siku 2 geto unamnyadua tu vile unavyotaka Kisha unamfukuza, unamfukuza aende wapi? Anzisheni maisha
Unaweza kuoa sio mpaka uwe na pesa. Unaweza kuoa kwa kutumia baraka na ushiriki. Unaweza kuwa msaada wa watu wengine na kuwa na mtoto.
Vijana wengi wanachelewa kuoa kwa kisingizio Cha life hardship lakini hawajui kuna baraka nyingi wanazifunga. Ila shida ni malezi ya vijana Wengi sasa hiv wanachelewa kukomaa akili.
Nahitimisha kwa kusema" Makadirio yangu yalikuwa/yapo sahihi.Tafta wa size yako boss utaishia kulaumu bure , watu wanatoka mkoani wanaoa pisi kali za DSM , na watu wanatoka DSM wanaoa mkoani , ndege wanaofanana huruka pamoja , mnawaona watoto wanapendeza we unaibuka na visent vyako vya ualimu lazima ugongewe tuu watu wanagharamia, kama unaweza kugharamia it is okay , huwez kaoe vigunguti huko wapo mpak wa ndoa za ubani wa sh 300 na lyfe linaenda...
👍 GoodNahitimisha kwa kusema" Makadirio yangu yalikuwa/yapo sahihi.
Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
𝐖𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐢𝐧𝐠𝐢𝐚 𝐡𝐮𝐤𝐨 𝐲𝐚𝐤𝐚𝐤𝐮𝐤𝐮𝐭𝐚 𝐮𝐬𝐢𝐭𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢𝐬𝐡𝐞 𝐧𝐚 𝐛𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚 𝐳𝐚𝐤𝐨 𝐳𝐚 𝐚𝐣𝐚𝐛𝐮 𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐁𝐀𝐑𝐀𝐊𝐀 𝐙𝐀𝐎 𝐇𝐀𝐖𝐀𝐒𝐄𝐌𝐈Vijana wenzangu kuoa sio mpaka uwe na pesa.
Pesa zipi ukipata ndio utaoa,? Na usipozipata hizo pesa ndo tuseme hutooa? Inabidi ujue Usipooa pia baraka haziji
Sasa umekaa na mtoto wa watu siku 2 geto unamnyadua tu vile unavyotaka Kisha unamfukuza, unamfukuza aende wapi? Anzisheni maisha
Unaweza kuoa sio mpaka uwe na pesa. Unaweza kuoa kwa kutumia baraka na ushiriki. Unaweza kuwa msaada wa watu wengine na kuwa na mtoto.
Vijana wengi wanachelewa kuoa kwa kisingizio Cha life hardship lakini hawajui kuna baraka nyingi wanazifunga. Ila shida ni malezi ya vijana Wengi sasa hiv wanachelewa kukomaa akili.
Mkuu wapo wanaoishi bila ndoa huu mwaka wa 15 Sasa,ila wazazi wa pande zote mbili wanajua,japo hakuna ndoa yyte iliyofungwa,si ya kidini,kimila Wala kisheriaTunasisitiza bado sio Jambo jema sana , but miaka 15? sidhani kama hao wapo mana kama pande mbili za familia zishakutana wakatambua mnaishi pamoja Kwa vyovyote vile kwa huo mda mtakuwa mmerasimisha , mana ndoa sio harusi , harusi ni sherehe tuu, kuna ndoa za kimila na za kidini na za kiserikali , yawezakuwa hawana dini Ila wamefanya tuu kimila Kwa kutambulika , may be huyo binti ni mkimbizi au Hana ndugu wala wazazi ..... Ila kuishi na mwanamke au mwanaume miaka 15 Kwa kujificha ficha is too dangerous
Sayari hii au nyingine[emoji23][emoji23][emoji23], acheni kuwadanganya vijana halafu baadae mnawadhihaki na kuwadharau. Hata wewe dada mkubwa unataka kuwa motivational speaker leo[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Huwa hatukubali kuanza muhimu awe anajua nn anatakiwa afanye kufikia malengo Hela zinapatikana sehemu watu wanapoweka juhudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960],nmecheka hapo kwenye ubani wa 300Tafta wa size yako boss utaishia kulaumu bure , watu wanatoka mkoani wanaoa pisi kali za DSM , na watu wanatoka DSM wanaoa mkoani , ndege wanaofanana huruka pamoja , mnawaona watoto wanapendeza we unaibuka na visent vyako vya ualimu lazima ugongewe tuu watu wanagharamia, kama unaweza kugharamia it is okay , huwez kaoe vigunguti huko wapo mpak wa ndoa za ubani wa sh 300 na lyfe linaenda...
Elf2 uyu jamaa ana utani.Umeandika kirahisi wapi unampata huyo wa 2000 kwasiku unaandika as if Kuna liuwanja kubwa unaenda unachagua mwnawake mwenye sifa unazotaka
Kabisa mkuu.anadanganya tu hapa oa una hela utakuwa umeolea wenzako na watapiga na mimba.Sayari hii au nyingine[emoji23][emoji23][emoji23], acheni kuwadanganya vijana halafu baadae mnawadhihaki na kuwadharau. Hata wewe dada mkubwa unataka kuwa motivational speaker leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio wanaume wazembe+wavivuKuna mwamba mmoja aliwahi kuniambia huenda mwanamke utakayemuoa ndio mwenye ufunguo wa mafanikio yako.
Nilikuwa siamini hayo maneno Yake ila kadri siku zilivyosonga nilianza kuamini maana nimeona watu kadhaa baada ya kuoa wameanza kufanikiwa mdogo mdogo.
Kwa hiyo mi nawausia vijana wenzangu ukiona upo na mwanamke mzuri hata Kama haupo vizuri kiuchumi we kaoe tu mafanikio mtayapata mbeleni kikubwa huyo mwanamke awe na vigezo vifuatavyo
[emoji116]
Hofu ya Mungu
Muaminifu
Mvumilivu
Mwenye heshima kwa watu wote.
We mwache atuolee😀😀Kama huna uwezo wa kumhudumia mwanamke ni kosa la jinai kuingia kwenye ndoa , labda uwashauri vijana kama Wana uwezo wa kumhudumia mwanamke waoe , lakn kama ni wazururaji tuuu watatengeneza more single mothers