Sikupingi mkuu, imradi una chanzo cha kipato ata kiwe kidogo vp unaweza kuoa kwa hali yoyote ya maisha ukipata mtu sahihi kwako. Ila upande wa pili unaweza ukaoa una kazi halafu miezi 6 tu mbele ukatimuliwa kazini ndo tunarudi kwenye mtu sahihi. Me naona kama una commitment ya familia na unajielewa majukumu yako kama mwanaume tu bas sio issue sana mana utabeba zege, dalalia, bet, debe chochote imradi wategemezi wako waneemeke.Vijana wenzangu kuoa sio mpaka uwe na pesa.
Pesa zipi ukipata ndio utaoa,?
na usipozipata hizo pesa ndo tuseme hutooa ?
inabidi ujue Usipooa pia baraka haziji
Sasa umekaa na mtoto wa watu siku 2 geto unamnyadua tu vile unavyotaka Kisha unamfukuza, unamfukuza aende wapi?.
Anzisheni maisha
unaweza kuoa sio mpaka uwe na pesa. Unaweza kuoa kwa kutumia baraka na ushiriki. Unaweza kuwa msaada wa watu wengine na kuwa na mtoto.
Vijana wengi wanachelewa kuoa kwa kisingizio Cha life hardship lakini hawajui kuna baraka nyingi wanazifunga. Ila shida ni malezi ya vijana Wengi sasa hiv wanachelewa kukomaa akili.
Mwamba huyu Hapa 😂
5. hayupo dunianikikubwa huyo mwanamke awe na vigezo vifuatavyo
👇
Hofu ya Mungu
Muaminifu
Mvumilivu
Mwenye heshima kwa watu wote.
👊that's my mankwahiyo ndoa ni lango la baraka?
sipingi kuoa/ndoa ila yapaswa kujipanga vyema kwa kiasi fulani.
😘 a man of my words👊that's my man
AminaKuna mwamba mmoja aliwahi kuniambia huenda mwanamke utakayemuoa ndio mwenye ufunguo wa mafanikio yako.
Nilikuwa siamini hayo maneno Yake ila kadri siku zilivyosonga nilianza kuamini maana nimeona watu kadhaa baada ya kuoa wameanza kufanikiwa mdogo mdogo.
Kwa hiyo mi nawausia vijana wenzangu ukiona upo na mwanamke mzuri hata Kama haupo vizuri kiuchumi we kaoe tu mafanikio mtayapata mbeleni kikubwa huyo mwanamke awe na vigezo vifuatavyo
👇
Hofu ya Mungu
Muaminifu
Mvumilivu
Mwenye heshima kwa watu wote.
❤❤❤😘😘 a man of my words
Kaka uwe nawe unachangia mawazo basi?Mambo yao waachie wenyewe...
🥰❤❤❤😘
Uko sahihi kwa ujumbe ulioutoa hapa,mwanaume ukiingia kwenye ndoa bila kua na senti ya kuendesha ratiba zakutwa nzima utaona moto utakavyokuwakia hata hizo babe ,babe nasweet zinakua kma makelele tu ndani.Acheni kutudanganya sijui baraka ....mtu hawezi kumudu hata Milo mitatu pekee yake ,kiufupi maisha yake pekee yake yanamchapa hatarii , Bado unataka aongezee mwanamke,mbaya zaidi wanawake wa Sasa mentality yao ni kuolewa ili wahudumiwe na kupewa kila kitu ...
Huna pesa ndoa huwezi ,hayo mengine ni motivation speaker na kujazana ujinga ...
Oa kama huna pesa uone moto wake kudadekii [emoji23]
Ni wanawake wachache wanaelewa hili, wengi wanataka kuolewa na mwenye vyoteNi Kweli nakubali [emoji817]
Hana mawazo, atachangia nini?Kaka uwe nawe unachangia mawazo basi?
Mbona unakwepa majukumu kila uzi?[emoji28][emoji28]
Wanaume,Vijana wenzangu kuoa sio mpaka uwe na pesa.
Pesa zipi ukipata ndio utaoa,? Na usipozipata hizo pesa ndo tuseme hutooa? Inabidi ujue Usipooa pia baraka haziji
Naunga mkono hoja ya msingi sana hii..😋
Huyu jamaa alikuwa mchangamfu sana kipindi yupo na demu wake alimpatia humu humu jf sijui nini kilitokea Kawa mpole sana siku hizHana mawazo, atachangia nini?
Yaani Huwa hatukubali kuanza muhimu awe anajua nn anatakiwa afanye kufikia malengo Hela zinapatikana sehemu watu wanapoweka juhudiNi wanawake wachache wanaelewa hili, wengi wanataka kuolewa na mwenye vyote
😂😂😂Kaka uwe nawe unachangia mawazo basi?
Mbona unakwepa majukumu kila uzi?[emoji28][emoji28]