Unasubiri upate pesa, maisha mazuri ndo uoe?

Unasubiri upate pesa, maisha mazuri ndo uoe?

"NDOA"sio kuwa na pesa au kutokuwa nazo!!punguza kujidanganya maana utawaponza wenzio kwa kuwadanganya yale ulifanikiwa kujidanganya mwenyewe kwa fikra finyu!!!
 
Kama huna uwezo wa kumhudumia mwanamke ni kosa la jinai kuingia kwenye ndoa , labda uwashauri vijana kama Wana uwezo wa kumhudumia mwanamke waoe , lakn kama ni wazururaji tuuu watatengeneza more single mothers
Hapo kwenye huduma ndio jambo mtambuka mkuu. Kuna madem wanataka huduma ndefu sana aisee
 
Wanaume,

Ili uweze kuoa ni lazima uwe na uwezo wa Kuhudumia, kulinda na Kuongoza huyo Mke wako.

Hivyo vyote vinaenda sambamba na kuwa na uwezo wa kiuchumi.

Himizeni Wanaume kupambana kujikomboa kiuchumi kwanza. UMASIKINI hauondolewi kwa KUOA.
"UMASIKINI hauondolewi kwa KUOA"

Ni mwanaume mpuuzi pekee ndio atakaekupinga
 
Kuna mwamba mmoja aliwahi kuniambia huenda mwanamke utakayemuoa ndio mwenye ufunguo wa mafanikio yako.

Nilikuwa siamini hayo maneno Yake ila kadri siku zilivyosonga nilianza kuamini maana nimeona watu kadhaa baada ya kuoa wameanza kufanikiwa mdogo mdogo.

Kwa hiyo mi nawausia vijana wenzangu ukiona upo na mwanamke mzuri hata Kama haupo vizuri kiuchumi we kaoe tu mafanikio mtayapata mbeleni kikubwa huyo mwanamke awe na vigezo vifuatavyo
👇
Hofu ya Mungu

Muaminifu

Mvumilivu

Mwenye heshima kwa watu wote.
Uoe kwa kipato Cha 70,000 kwa Mwezi au kutokuwa vizuri kwa kiwango ganj
 
Umeandika kirahisi wapi unampata huyo wa 2000 kwasiku unaandika as if Kuna liuwanja kubwa unaenda unachagua mwnawake mwenye sifa unazotaka
Dunia ina kila Aina ya wanawake , nenda maporini uko , Nani kakudanganya ndoa zote hapa mjini ni za mamilioni na maelf ??? Tatizo hao wa 2000 hamuwataki mnataka pisi kali zenye matunzo ghali na pesa hamna
 
Mzee kuoa sio maanake kuoa mwanamke yeyote mfano mimi sio mtu wa hizo Pisi kali ila ninaoa mwanamke aliyejiandaa kua mke sio kila mwanamke huyo unayesema wa kumuachia 2000 kwasiku unaweza kuta hana sifa ya kuwa mke mfano desperate wa ndoa umri unanenda, single mother, jeuri, ana dharau, muuaji so kuwaachiwa 2000 kwa siku sio kigezo tosha kwanza je ni mke

Mchakato unavyokuwa mgumu kwanza kupata mwanamke mwenye sifa za uke mbinde ukifanikiwa kumpata pia ngumu ku-meet kigezo Cha kuachiwa 2000 kwasiku ndio maana nikakwambia umeandika kirahisi unless Kama maana ya kuoa kwako ni kuingia kitaa na kuokota mwanamke yeyote mwenye shida ya kuolewa ambao wengi hawana sifa za kuwa wake.

Mwanamke niliyenae mcha Mungu, mpole, anasifa ya mke nk lakini hiko kigezo Cha kumuachia 2000 haja feet ila Kuna mademu kibao hapa kitaa 2000 Safi ila hata iwe bure sioi

NDOA JAMBO MTAMBUKA SANA
 
Kwenye biblia Yakobo Alimpenda binti anaitwa Rahel Ila ilimgharimu kumuoa japo isingemgharimu kumuoa Lea , kama umempenda huyo pambana sasa ujidhihirishe u mwanaume ili kufikia viwango vyake ...Ila kama huwez go to the cheap one, nachosema mm ndoa haiwez shindikana kisa kukosekana Kwa mwanamke , wanawake wapo rundo tuu , ni vigezo vyetu ndo hutuponza mbaya Zaid huwa tunashindwa kupambania hvyo vigezo
 
Kuna wale wanaishi na wanawake miaka hata 15 ,na hawana ndoa,hawaachani Wala hawafungi ndoa lkn wapo pamoja,sijui nao Hawa wapo upande gani
Tunasisitiza bado sio Jambo jema sana , but miaka 15? sidhani kama hao wapo mana kama pande mbili za familia zishakutana wakatambua mnaishi pamoja Kwa vyovyote vile kwa huo mda mtakuwa mmerasimisha , mana ndoa sio harusi , harusi ni sherehe tuu, kuna ndoa za kimila na za kidini na za kiserikali , yawezakuwa hawana dini Ila wamefanya tuu kimila Kwa kutambulika , may be huyo binti ni mkimbizi au Hana ndugu wala wazazi ..... Ila kuishi na mwanamke au mwanaume miaka 15 Kwa kujificha ficha is too dangerous
 
Back
Top Bottom