Unasikiliza wimbo gani ukiwa sad?

Unasikiliza wimbo gani ukiwa sad?

Nikiwa Sad napenda kuangalia animations, yaan moyo wangu unayeyuka kabisaaaa,

Nyimbo za utulivu pia zisiwe na makelele ila zisiniongezee stress,
Nitamsikiliza,
Kenny Rogers,
Phil Collins,
Dolly Parton,
Bob Marley,
Whitney,
Celine,
Toni Braxton,
Na nyimbo za Kikorea
 
Voyage by Werrason.
Ferre gola kaimba sana humo akiwa wenge maison mere.
Huwa kila nikiwa na machungu yangu ya maisha naskiliza huo ntalia ntakumbuka mambo mengi sana then nalala vizuri tu
 
I also like Zayn!!
I am addicted to that song he sang with taylor swift I DON'T WANNA LIVE FOREVER, and now a collabo btn zayn and selena gomez I AM SORRY WE LIED..

Have you had a chance to listen to this song???
 


Kuna nyimbo ya Jense kabeza FM academia.
Acha tamaa unaitwa
ameweka sana usia mule ndani watu hawaelewi.
Yule jamaa akaja kuwa kichaa.
Siku
kaja na uchizi wake kaomba mic kaimba live pale Msasani(alikua kashafukuzwa)

(Acha tamaa)
Tukamtunza sana tu.
Patcho Mwamba wivu anamfukuza kwenye stage
Tukamwambia huyu mpk amalize haondoki.
Akaimba kwa machungu sana ule wimbo.
Alikua rafiki yangu Sana.
 
I am addicted to that song he sang with taylor swift I DON'T WANNA LIVE FOREVER, and now a collabo btn zayn and selena gomez I AM SORRY WE LIED..

Have you had a chance to listen to this song???

Hyo na Selena bado sijaisikiliza kwa kutulia

Nitafanya hvyo

But napenda sana nyimbo za wote hao Zayn ,Selena
 
Chozi la yatima -jose mara hii nyimbo nikiisikiaga nakumbuka mbali sana
Josee alituliza sana kichwa.
 
Hii8
 

Attachments

  • Screenshot_20230629-180501_Boomplay.jpg
    Screenshot_20230629-180501_Boomplay.jpg
    74.1 KB · Views: 17
Back
Top Bottom