Unasikiliza wimbo gani ukiwa sad?

Muziki si kitu cha kawaida kama wengi tunavyodhani,Muziki ni nguvu katika ulimwengu wa Roho,inaweza vuta nguvu ningine za kiroho kuja eneo la tukio

Muziki ni dawa ya nafsi inaweza kutibu na kubadilisha vile una feel dakika yeyote.

Anko Jei napenda kufahamu,ukiwa sad unasikiliza wimbo/nyimbo gani,ili kutibu nafsi yako,na kurudi kwenye hali ya kawaida?

Binafsi ni mtu wa Gospel sana na wimbo unaonipaga nguvu ni huu

Christopher Mwahangila - Yesu yuko hapa

Wewe unasikiliza wimbo gani?
stronger tha i was
 
U like the song too?
Yes, I like the song. Naweza kusikiliza siku bila kuuchoka.
I recommend the following:-
The sound of silence -simon& Garfunkel
Still my guitar gently weeps-beatles
Gone without a reason-maywood
Thanks for recommending me to this, let me check 'em. Will update you
I have lots of them their from my dads collection...
Nikisema niweke collection ya mzee wangu nyingi ni nyimbo za kongo na Kwaya za kutoka Mt. Secilia Arusha Choir

Btw, unasikilizaga New Age songs?? Unaweza lia kabisa. Listen them
 
I cry -Usher Raymond
Dear mama-2pac
I case we both die young -
Saint JHN
Understand- Omah lay
Better - Khalid
Where I'm from- jackboy
I ain't perfect-Mozzy ft Blxst
For tonight -Giveon
Fall into me- forest blakk
What you need- Don Toliver
Bu guo Ren jian- Hai Lai a mu
Lonely child - Young NBA
Already dead - Juice WRLD
 
Yes, I like the song. Naweza kusikiliza siku bila kuuchoka.

Thanks for recommending me to this, let me check 'em. Will update you

Nikisema niweke collection ya mzee wangu nyingi ni nyimbo za kongo na Kwaya za kutoka Mt. Secilia Arusha Choir

Btw, unasikilizaga New Age songs?? Unaweza lia kabisa. Listen them

New age songs unaweza kushangaa chozi limetoka halafu hujui
 
Grace - Rag n’ Bone Man
Tell your heart to beat again - Danny Gokey
Bwana ni mchungaji wangu - Reuben Kigame
 
Back
Top Bottom