Unasikiliza wimbo gani ukiwa sad?

Binafsi namsikiliza sana Lucky Dube ,2pac,Eminem na Snoop hawa jamaa nyimbo zao zinanipa amani ya moyo na furaha pale ninapokuwa stressed
 
Nothing without you - Dr tumi

Jehovah retshepile wena - Ney zimu (RIP)

Through it all - Peter...... huu unanipa nguvu sana

.sina Mungu mwingine. - Reuben kigame
 
Muziki si kitu cha kawaida kama wengi tunavyodhani,Muziki ni nguvu katika ulimwengu wa Roho,inaweza vuta nguvu ningine za kiroho kuja eneo la tukio

Muziki ni dawa ya nafsi inaweza kutibu na kubadilisha vile una feel dakika yeyote.

Anko Jei napenda kufahamu,ukiwa sad unasikiliza wimbo/nyimbo gani,ili kutibu nafsi yako,na kurudi kwenye hali ya kawaida?

Binafsi ni mtu wa Gospel sana na wimbo unaonipaga nguvu ni huu

Christopher Mwahangila - Yesu yuko hapa

Wewe unasikiliza wimbo gani?
Ann Annie-tunaye Mungu!
 
Hua naanzia hapa,

Pastor musembi
"tabibu",
" ahadi za bwana",
" niumbie moyo safi",
" mataifa yote"

Sara K,...
"Liseme",
"mnyunyizi wangu",
"usiyeshindwa"

Pastor Abihud misholi
" nimechoka", " nani atanitazama",
" tenda miujiza",
"nimechoka unilinde"

Baadae nahamia huku

Soledad westlife

Hold my hand michael jackson ft akon

Iyaz solo

Low life, future

Drop the world lil wayne

Mocking bird eminem

Eminen ft lil wayne no love

Mama, emtee.

Etc
Nyimbo za mwisho mbona ngumu kumeza
 
Back
Top Bottom