Unaposikia mke uliyeoa ni changu mstaafu

Unaposikia mke uliyeoa ni changu mstaafu

Kaka nasema hivi,
Kwenye ndoa, usipojihadhari na "Kusikia sikia", ndoa haikai mwezi. Ukitaka kusikiliza, nunua ma baunza wa uhakika utembee nao. Wengi walimtaka binti wa watu ila yeye akakuzimia weye, sasa waliopigwa chini wanaanza, Oh! twamjua, tulimpiga mipini kotekote, Oh! kikapanda kikashuka. Yoote hayo ni kukutia BP umtupe, msemo wa kwetu ni kuwa; Ukisusa wenzio twala. Kama weye huonyeshi matisho basi kila tusi utatukanwa tu.
Kaka, mkeo ni tunu, yatakiwa uitunze, uifiche, uilinde. Ka utaiacha kihasara, yapo majitu mimacho ni hapo getini kwako tu yakiomba utoke yajitahidi kumendea. Achana na kusikia. Miye nitaanza kufuga mbwa siku nikiisha ingiza chumbani, ya kale hayanihusu.
Kwanza sina tyme ya kwenda fundisha jitu zima miaka 30+ plus, unapoanza mechi linapiga keleleeee, Oteee, oteee lanyeee, dyudyu likubwa mno hiloooo, usimaliziee loteeee jamaniii mpaka umzibe mdomo na kung'atwa ung'atwe kisa kumziba kelele.
Nilifurahi sana, wangu, aliingia akaniulizanami nakumbuka; Hawa jamaa hawaondoki jamani? Nkamjibu kwani nini? Akasema, Nakuhitajiiii... Mbona hadi leo miaka 40+ sijamsikia kamrudia aliye mtoboa?? Nina uhakika huo.
Umenifurahishaaa otee otee, lanyeee..... leka tiki.
 
Habari wana JF,

Hivi utafanyaje utakaposikia mke uliyeoa na ambaye umezaa naye mtoto kumbe alishawahi kuwa changudoa na alishabakwa.


kama kipimo cha uchangu ni idadi ya wanaume aliotembea nao mwanamke mmoja basi kwa dunia ya leo asilimia kubwa ya hao wanawake ni machangu. Ni bora pia ukijua alikuwa anajiuza dhahihiri kuliko kuja kushtukia unaingia sehemu na mkeo ni sawa yupo uchi kutokana na idadi ya wanaume aliotembea nao ilhali ulidhani ni mwema.

let not the past determine your future...........
 
Sasa unataka ufanyeje si umeshaoa tayari hadi Mungu atakapo watenganisha
 
Kama alikuwa changudoa kabla haujamuoa potezea maana huo ndio tayari mzigo wako ww angalia mlipoanzia na tena hao ndio huwa watamu sana wameshamaliza kila kitu na mastyle wanayajua vizuri enjoy kaka
 
kama kipimo cha uchangu ni idadi ya wanaume aliotembea nao mwanamke mmoja basi kwa dunia ya leo asilimia kubwa ya hao wanawake ni machangu. Ni bora pia ukijua alikuwa anajiuza dhahihiri kuliko kuja kushtukia unaingia sehemu na mkeo ni sawa yupo uchi kutokana na idadi ya wanaume aliotembea nao ilhali ulidhani ni mwema.

let not the past determine your future...........
Hamnaga kitu kama hiyo ya unaingia nae sehemu anaonekana uchi hiyo ni akili mgando. Mla mla leo mlajana kala nini aisee haiapply kwa mwanamke ukimla ukatoka hapo akimpata mwenzio akamuweka kwenye class the chemistry btwn them ikawa poa ukiwakuta ww ndio utajiskia uchi sio yeye tena.
 
Hakuna mkamilifu chini ya jua kama acngekuwa kahaba basi si shaka pia angekuwa mchawi mstaafu,..cha msingi tazama uendako usiangalie utokako,.
 
Habari wana JF,

Hivi utafanyaje utakaposikia mke uliyeoa na ambaye umezaa naye mtoto kumbe alishawahi kuwa changudoa na alishabakwa.
Kumbe mstaafu na alikua ila sio changu kwa sasa.....unaendelea na maisha
 
yaani unasikia tu na wwe unaamini, poor you. Kwa ushahidi wa gani?
 
Bado anabaki kuwa binadamu na mtu nimpendaye na kilometres zangu zitaanzia hapo kwenye mahusiano yetu mla jana kala nini bwana...!? Alfer all halua haina makombo
weeeuweeeeeeeeeeeeeeee mla mla leo,mla jana kala nini????? Santeeeeeeee!!! namna hiyo huo ndio msimamo unaotakiwa...
 
Mimi naona kama mabinti wa siku hizi wote ni machangu na watu tunaoa
 
Changudoa sio mpaka wapige mingo barabarani au kwenye mabaa,wengine wapo maofisini
 
Back
Top Bottom