labda uniambie hii ya mtandao gani...?62571099463166 hiyo hapo vocha ukishaingiza niambie nikupe namba
labda uniambie hii ya mtandao gani...?
sasa ww wiki tu unalalamika kijana? Wengine ndo ivo hata mwezi lakin mwisho wa siku kinaeleweka tu. Ila rule namba one mambo ya PM yabaki PM usiyalete huku
CC Heaven on Earth
mtandao wangu si waujua...? mbona hutaki kunipa...?vodacom tanzania
mtandao wangu si waujua...? mbona hutaki kunipa...?
sio vizuri hivyo wakati unajua mimi mtoto wa mwanamke mwenzio....sitaki
miss chagga vipi hapa? Mbona kabanga ananishtakia?utafiti unamsikia mwanao...? hataki kunipa, wakati umemwambia anipe...!
miss chagga vipi hapa? Mbona kabanga ananishtakia?
vocha 5 za elf mbili mbili