Unapompatia namba unayempenda, asikupigie

Unapompatia namba unayempenda, asikupigie

hahaha itakua mimi huyo ndo zangu, ukiomba namba nakwambia nipe yako ntakupigia, nikiona unalipa nakupigia , nikiona huna maslah kwa heri utaisoma
 
Ndo usitegemee kutafutwa tena kwa kushindwa kuwa mvumilivu hadi unakuja kumwanika jamvini.
 
Wakuu wa MMU shwari!Kuna mambo mengine ni madogo lakini yanaumiza sana tena sana,kuna mrembo humu nimechati nae PM,tukakubaliana anipatie namba ya simu,akanisihi nimpatie yangu yeye ndo atanitafuta.Ni wiki sasa kimya.Jamani mbona hivo,nimekuwekea namba ya vocha kimya.

Mfuate PM hakukuwa na haja ya kuanzisha uzi
 
Wakuu wa MMU shwari!Kuna mambo mengine ni madogo lakini yanaumiza sana tena sana,kuna mrembo humu nimechati nae PM,tukakubaliana anipatie namba ya simu,akanisihi nimpatie yangu yeye ndo atanitafuta.Ni wiki sasa kimya.Jamani mbona hivo,nimekuwekea namba ya vocha kimya.
Hahahaaa hahahahaaa mkuu watu wenyewe ndo hawa wajanja wajanja hivyo!!! emb vuta picha halafu uone kama hauko shimo la tewa la mapenzi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom