misschagga niseme nini wakati wewe hutaki...?
sasa ww wiki tu unalalamika kijana? Wengine ndo ivo hata mwezi lakin mwisho wa siku kinaeleweka tu. Ila rule namba one mambo ya PM yabaki PM usiyalete huku
CC Heaven on Earth
hahahahaaaaaaaa Kaizer naomba sababu moja ya kwa nini ume ni CC
nimekumiss tu baby ake Heaven on Earth:juggle: