miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Nikutumie namba ya simu na vocha?
ndiyo na vocha za laki tatu ndo nitaweza kukupigia
Nikutumie namba ya simu na vocha?
Kwani tangu umpatie hiyo no. Umeshawahi kumuona online??, usijekuwa unalalamika hujui mwenzio kapatwa na nini
mtaka cha uvunguni sharti ainame
Labda alikuwa miongoni mwa abiria wa ile ndege ya Malaysia
nitashukuru sana...subiri nikipita karibu na sehemu ya vocha nikutumie
Vocha ya tsh ngapi?
Labda alikuwa miongoni mwa abiria wa ile ndege ya Malaysia
Wakuu wa MMU shwari!
Kuna mambo mengine ni madogo lakini yanaumiza sana tena sana.
Kuna mrembo humu nimechati nae PM, tukakubaliana anipatie namba ya simu, akanisihi nimpatie yangu yeye ndo atanitafuta. Ni wiki sasa kimya.
Jamani mbona hivo, nimekuwekea namba ya vocha kimya.
vocha 5 za elf mbili mbili
Ukute mwanaume mwenzio..lower ur expectations in social networks relations
Hahaha nimecheka sana..na vocha juu. Nina miaka mitatu sijakwangua vocha
Ungemwambia una salio la Tigo Pesa au M-Pesa akupe umnunulie.
nitashukuru sana...