Ngondombole
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 646
- 186
Mfuate nyumbani ukaongee nae laivu.....!!
Akunyimae mbaazi..kakwepushia mashuzi...
akupendi huyu mpe mwingine tena namba na vocha
BOBAN Sunzu isije ikawa umemtumia vocha mwanaumeWakuu wa MMU shwari!Kuna mambo mengine ni madogo lakini yanaumiza sana tena sana,kuna mrembo humu nimechati nae PM,tukakubaliana anipatie namba ya simu,akanisihi nimpatie yangu yeye ndo atanitafuta.Ni wiki sasa kimya.Jamani mbona hivo,nimekuwekea namba ya vocha kimya.
Mama Kijacho nawe
Pole sana mkuu, wajinga ndiyo waliwao. Hiyo vocha yako imetumika kumpigia yule aliye moyoni mwake, wewe endelea kusubiri tu!Wakuu wa MMU shwari!Kuna mambo mengine ni madogo lakini yanaumiza sana tena sana,kuna mrembo humu nimechati nae PM,tukakubaliana anipatie namba ya simu,akanisihi nimpatie yangu yeye ndo atanitafuta.Ni wiki sasa kimya.Jamani mbona hivo,nimekuwekea namba ya vocha kimya.
Mzee mbona mambo ya aibu haya ukileta hpa ss unataka atokee au unatakaje?maana it was btwn u too now u expose unadhani atakutafuta kweli??:thinking:Wakuu wa MMU shwari!Kuna mambo mengine ni madogo lakini yanaumiza sana tena sana,kuna mrembo humu nimechati nae PM,tukakubaliana anipatie namba ya simu,akanisihi nimpatie yangu yeye ndo atanitafuta.Ni wiki sasa kimya.Jamani mbona hivo,nimekuwekea namba ya vocha kimya.
Wakuu wa MMU shwari!Kuna mambo mengine ni madogo lakini yanaumiza sana tena sana,kuna mrembo humu nimechati nae PM,tukakubaliana anipatie namba ya simu,akanisihi nimpatie yangu yeye ndo atanitafuta.Ni wiki sasa kimya.Jamani mbona hivo,nimekuwekea namba ya vocha kimya.
Bado unamuona akitoa michango humu jf?
Kama bado unamuona angalia ustaarabu mwingine.
amechangia uzi huu ananipita kwny uzi kama hanijui.na alivochangia,ni kama hajui kitu kabisa.wakati juzi tu nimemuwekea vocha 5 za elf mbili mbili.imezidi kuniuma zaidi bora asingechangia
hahaaaaaa na namba ya vocha umeweka lol
Na ww kwanini unabadilisha no ya simu kila kukicha?
Uliyonipa last time nayo haipatikani!!!
Naanza kupata mashaka unaweza ukawa unafanya kazi usalama!!! lol
juzi kati niliweka uzi nikiomba kujuzwa sex positions kwa mjamzito.sema nilisahau kuweka angalizo kuwa ninam-represent rafiki yangu.pengine ndo imemuuzi
Hakuitaji kuebdelea kusumbuliwa na wewe....
Hebu niPM hiyo namba nihakikishe kama kweli haipatikani..Na ww kwanini unabadilisha no ya simu kila kukicha?
Uliyonipa last time nayo haipatikani!!!
Naanza kupata mashaka unaweza ukawa unafanya kazi usalama!!! lol
kama vp akupe wewe tu miss chagga, au vp?
Mkuu pole sana, usijaribu tena huo mchezo jf..hakuna security huku.Wakuu wa MMU shwari!Kuna mambo mengine ni madogo lakini yanaumiza sana tena sana,kuna mrembo humu nimechati nae PM,tukakubaliana anipatie namba ya simu,akanisihi nimpatie yangu yeye ndo atanitafuta.Ni wiki sasa kimya.Jamani mbona hivo,nimekuwekea namba ya vocha kimya.