Unapendelea wimbo gani kama ringtone ya simu yako?

Unapendelea wimbo gani kama ringtone ya simu yako?

Hahaha hizo huwa napenda kuzisikiliza tu mkuu siyo kuweka kama ringtones, jamaa alikuwa na nyimbo nzuri sana my best mpaka leo ni the nights na wake me up, ringtones zangu nyingi ni hizi za kina Elektronomia, Jarico, Alan Walker, Jim Yosef, et al
Yeah for sure mkuu. Anakwambia "my father told me when I was just a child, these are the nights....
 
Back
Top Bottom