Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,829
- 58,501
Nataka kunya.....Au niweke ile ya Bando MC inaitwa kunyayua maiki
Nataka kunya.....Au niweke ile ya Bando MC inaitwa kunyayua maiki
Kwann sas... Unakosa mengi..Vibration utoto? 😄😄 Siwez weka milio kwenye simu yaan ni siwez
😀😀😀😀 Ndo kitu ganKwann sas... Unakosa mengi..
Vibration inaweza kufanya ukapta ugonjwa wa phantom vibration syndrome
Basi huo ugonjwa unao kabisa......😀😀😀😀 Ndo kitu gan
Kuna sisi simu zetu zinaita ovyo Kila wakat Sasa mda mwingine ni kero sio kwangu hata watu wanaonizunguka
Hata mimi vibration naipendelea kuliko ringtoneMi mbili tuu zile.zile ila kuna mda naweka vibration
Umesema kweli!Nataka kunya.....
Msimamo ule ule hakuna kupenda kuonewa hurumaHata mimi vibration naipendelea kuliko ringtone
Acha ujinga we fala kweli..Umesema kweli!
Mmh simu zetu za Tecno zinavyo vibrate kama tetemeko usisikie aroooo Tena inakutetemesha 😂😂Basi huo ugonjwa unao kabisa......
Sasa kuna mda vibration uwezi sikia mkuu..
Ishu kama hizo una solve vipi happ
Haina tofauti na trakta...Mmh simu zetu za Tecno zinavyo vibrate kama tetemeko usisikie aroooo Tena inakutetemesha 😂😂
AwwAlan Walker- Lily
Kupenda kuonewe huruma ni zaidi ya utoto, zaidi ya uma na ni zaidi ya ushoga pia.Msimamo ule ule hakuna kupenda kuonewa huruma
Hahaha 😂.Acha ujinga we fala kweli..
Hiyo nyimbo ya jamaa anasema nataka kunya.. kunyanya maiki...
Wee unataka nionekane mi wa hivyo humu 😂😂😂😂😂
Umeweza mkuu😂😂Mimi nayotumia sijui jina, nilisikia kwenye tamthilia ya kituruki inaitwa kara sevda, kuna jamaa anaitwa Emir alikuwa anaitumia kama ringtone yake
Mpaka leo unaweka ringtone huna majukumuHabari wana JF poleni na Majukumu wakuu ..
Kwenye simu Yako ume save WIMBO upi kama ringtone Yako pendwa Mimi marvel _Don't let me down 🎵🎶
Ringtone na Majukumu vina husiana vipMpaka leo unaweka ringtone huna majukumu