nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 2,802
- 9,143
HujamboHellow 🙂
HujamboHellow 🙂
Headlines DrakeHabari wana JF poleni na Majukumu wakuu ..
Kwenye simu Yako ume save WIMBO upi kama ringtone Yako pendwa Mimi marvel _Don't let me down 🎵🎶
KipiUjue hiyo silence mode there is something behind
Mmh makubwa kumbeeeeHaina tofauti na trakta...
Sasa mimi ile hali ya simu ku vubrate inakuwa ina niathiri yaani naweza hisi simu ina vibrate kumbe walaaa..
Hapo ndo tunapata kitu kinaitwa phantom vibration syndrome.. ni bora niweke silence au rington ila vibration hapana..
Pia vibration ina mchezo wa kupunguza nguvu za kiume hii taelezea katika jukwa ala tiba...
Hahaha hizo huwa napenda kuzisikiliza tu mkuu siyo kuweka kama ringtones, jamaa alikuwa na nyimbo nzuri sana my best mpaka leo ni the nights na wake me up, ringtones zangu nyingi ni hizi za kina Elektronomia, Jarico, Alan Walker, Jim Yosef, et alZa marehemu Avicii zinakosa kweli hapo
Niko poa 😀Hujambo
Acha ujinga we fala kweli..
Huo wimbo wa jamaa anasema nataka kunya.. kunyanya maiki...
Wee unataka nionekane mi wa hivyo humu 😂😂😂😂😂
Aise kumbe tuko wengi mimi kuna over the horizon kama mbili hivi nazikubali kwenye samsung za zamani huwa nazitumia mara moja moja, hiyo S3 ilikuwa na ringtone mbili kama sikosei kuna moja iko fast nyingine kama iko slow hivi, sasa mimi naikubali hiyo ambayo iko fast halafu kuna nyingine ilikuwa kwenye J7 yenyewe iko slow zaidi yani nilizitafuta hadi nikazipataSamsung_over horizon original tone ile ya Samsung s3
Ile ringtone inakupa nostalgic fulani mixer kama adventure hivi siwezi elezea sana ila,ile ringtone naipenda sanaAise kumbe tuko wengi mimi kuna over the horizon kama mbili hivi nazikubali kwenye samsung za zamani huwa nazitumia mara moja moja, hiyo S3 ilikuwa na ringtone mbili kama sikosei kuna moja iko fast nyingine kama iko slow hivi, sasa mimi naikubali hiyo ambayo iko fast halafu kuna nyingine ilikuwa kwenye J7 yenyewe iko slow zaidi yani nilizitafuta hadi nikazipata
Kwa faida ya member naziweka hapa 😂😂Aise kumbe tuko wengi mimi kuna over the horizon kama mbili hivi nazikubali kwenye samsung za zamani huwa nazitumia mara moja moja, hiyo S3 ilikuwa na ringtone mbili kama sikosei kuna moja iko fast nyingine kama iko slow hivi, sasa mimi naikubali hiyo ambayo iko fast halafu kuna nyingine ilikuwa kwenye J7 yenyewe iko slow zaidi yani nilizitafuta hadi nikazipata
Duuh pole mkuu tengeneza simu21 savege-a lot, ingawa simu yangu spika yake mbovu
Vibration kwangu inanitosha nimejikuta sipend kelele ovyo ovyo
ITakua ringtone Yaki spider iyo meijuaTutuuuu
Tuuuuuu
Uuuuuuw
Wuuuuuuuuu
Wuuuuuuuuuuuuuuiu
Yeaaah,hii imenitengenezea siku yangu 👊😂
Imechoka balaa nafikiria kununua mpyaDuuh pole mkuu tengeneza simu