Unapendelea wimbo gani kama ringtone ya simu yako?

Unapendelea wimbo gani kama ringtone ya simu yako?

Haina tofauti na trakta...
Sasa mimi ile hali ya simu ku vubrate inakuwa ina niathiri yaani naweza hisi simu ina vibrate kumbe walaaa..

Hapo ndo tunapata kitu kinaitwa phantom vibration syndrome.. ni bora niweke silence au rington ila vibration hapana..

Pia vibration ina mchezo wa kupunguza nguvu za kiume hii taelezea katika jukwa ala tiba...
Kama huna nguvu huna tu
 
Ninazo zaidi ya kumi huwa nafanya kuswitch tu, ila kwa sasa ni hall of fame ya the script ft will.i.am (instrumental), ila kiujumla ringtones zangu nyingi huwa ni edms tu bila vocals
 
Back
Top Bottom