Unapenda watoto?

Umenikumbusha kuna baba mmoja nilikuwa naishi naye jirani, asubuhi sana kashaenda kukiwasha🫒 yani saa 7 tu kasharudishwa na wenzie kwenye toroli dahh! Apumzike kwa amaniπŸ˜₯
Huyo sasa ndio alijua kuitendea haki pombe🀣
 
Mimi napenda sana watoto ila tu nikaa nao wasilie, wasipuu wala kujikojolea. Pamoja na hayo siwezi kukaa na mtoto kwa zaidi ya masaa mawili yaani naona wanageuka Kero. Kama WIFE akitoka kidogo akiniacha nao ndani naweza kuchukua bajaji nikamfuata huko nimpelekee watoto
 
Napenda sana na namuomba Mungu nije nipate wangu
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…