Unapenda kusikiliza Album gani?

Unapenda kusikiliza Album gani?

Napenda music lakini miziki ya kuanzia 2000 kurudi nyuma. Album mara nyingi zinakuwa na ngoma chache kali, nyingine mbovu.
Mara nyingi napenda kununua collection, yaani mchanganyiko wa ngoma kali za wasanii tofauti. Kama ni hiphop, rnb, soul,reggae na country music. Huko unakutana na wanamuziki(sio wasanii)wakali na ngoma kali.

Pia napenda ngoma za kizamani, Music wa dance kina Maquiz, Juwata, Mlimani park nk.
Ngoma toka Zaire, Congo ya sasa, kina Verkys na bendi zao kama Sosoliso, le orchestra lipualipua, veve nk.

All in all collection ni bora kuliko album.
 
For the meantime nasikiliza Indigo ya mtu mzima Chris Brown,album imepikwa vizuri sana
 
Khalid - suncity
Khalid American - teen
Cigarettes after sex - cry
Maroon 5 - red pills blues
Kenny rogers - 21 numbers ones
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom