halafu we ndo utageuka kande za msiba.sasa ukimuua msiba si utakuwa hapo hapo kwako, c ndo watajazana balaa
Na maziko yatakuwa kitandani kwako....
halafu we ndo utageuka kande za msiba.
halafu we ndo utageuka kande za msiba.
sasa ukimuua msiba si utakuwa hapo hapo kwako, c ndo watajazana balaa
sasa ukimuua msiba si utakuwa hapo hapo kwako, c ndo watajazana balaa
ah wapi! Msiba lazima usafirishwe mpaka kwao (hapana mm siwezi kuwa kande/na wala hawawezi kujazana coz ntamuua natupia
uvungu wa kitanda au napeleka sebuleni msiba utakuwa huko!!