...Unapenda Kukutana NAMI uso kwa uso....?

...Unapenda Kukutana NAMI uso kwa uso....?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Husika na kichwa cha habari..kama jibu ndiyo..na upo maeneo ya ubungo...jongea eneo la ubungo ingia stand ya Daladala..nyoosha mpaka sehemu wanayopaki Magari ya Gongo la mboto...ukifika hapo Nipm.

Hata usipo nipm utaona kuna njemba imevimba..usiogope nistue tu.
 
Akhu babu wee,
Mambo ya kwenda Kuliwa Uroda wa bure na kigiza hiki nani anataka!
Tupishe sie.
 
hivi nyuso huwa zinakutana???
 
hahaha kumbe wajf wanawake wanawwza liwa uroda bure bure lol
 
Ndio wewe niliekuachia mizigo ya mgeni wangu uilinde?makubwa
 
Nimekuona kweli dah!! Nasubiria daladala za suka nigombanie.
 
Back
Top Bottom