Unanunua bidhaa masoko ya China, njoo nikuuzie yuan(rmb) bei kitonga

Hiyo ni maximum kwenye bank account ya kichina?
 
Wewe unatumia njia gani kutuma pesa kwa wachina, alipay na wechat nilishakomaa nazo nikanyoosha mikono juu. Hakuna njia online nyingine ambayo naweza tuma pesa kwenye account za wechat na alipay?
 
Wewe unatumia njia gani kutuma pesa kwa wachina, alipay na wechat nilishakomaa nazo nikanyoosha mikono juu. Hakuna njia online nyingine ambayo naweza tuma pesa kwenye account za wechat na alipay?
Iyo ndio kazi yangu boss sio kila mtu anaweza ndio maana nipo kukusaidia kutuma kwa rate zangu.
 
Wewe unatumia njia gani kutuma pesa kwa wachina, alipay na wechat nilishakomaa nazo nikanyoosha mikono juu. Hakuna njia online nyingine ambayo naweza tuma pesa kwenye account za wechat na alipay?
Natuma kupitia Alipay wewe unanitumia kwa njia za bongo tsh
 
Biashaya ya jezi (jerseys)
Biashara ya jezi za michezo nimekuletea chimbo la China
Sina gharama zaidi ya kukuuzia/kukulipia Yuan (rmb)
Hapa nakuwekea mahesabu kwa baadhi ya jezi hizo.
MOQ ni pisi 600 (50 kwa kila aina ya jezi)
Rate ya yuan kwa siku ya leo 27/09/2023 ni 1rmb=378Tsh
Biashaya ya jezi (jerseys).PNG

Hii bei yake china ni 15rmb
15x378=5670Tsh

Biashaya ya jezi (jerseys).PNG

Hii bei yake china ni 16rmb
16x378=6048Tsh

Biashaya ya jezi (jerseys).PNG

Hii bei yake china ni 17rmb
17x378=6426Tsh

BOFYA DOWNLOAD KUPAKUA FILE KUONA JEZI ZAIDI NA BEI
33MB pdf DOWNLOAD

Jezi za bei ya juu kabisa ni 17rmb=6426
Makadirio ya usafiri ni 1000-1500 meli siku 30-45
Mimi jukumu langu ni kukuuzia/kukulipia yuan mengine yatabaki kama msaada
Whatsapp 0713055107
Morogoro
 
BIASHARA YA VIATU
IMG_20231001_152931.jpg

J Men Shoes
26¥=9828Tsh (Rate 378)
Moq 60 pairs
Makadirio usafiri 3500 kila pea
Usafiri meli siku 30-45

IMG_20231001_152622.jpg

Viatu vya chini vya kike
21¥=7938Tsh (Rate 378)
Moq 60 pairs
Makadirio usafiri 1500 kila pea
 
Back
Top Bottom