Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,738
Afu leo nimekuota unanihudumu masaji !
Unadhani Ina maana hii ndoto?
Unakesha jf umeota saa ngapi tena.
Afu leo nimekuota unanihudumu masaji !
Unadhani Ina maana hii ndoto?
Unakesha jf umeota saa ngapi tena.
Nimeamka saa6 usiku huu , ndy nikatia maguu humu.
sura yako ndo nachohitaji,tatizo unanikonyeza nikifunguka unanikimbia.Nikupe ua kwani wewe una hadhi ipi kwangu? hunijuwi sikujuwi.
How old are you?
kijani mpauko.
MamndenyiDaah pole. chama kaingia chaka akija tu tutakuja. Naona umekula nait za kutosha.
Mnaitahijika Kigoma
Ndo zuri hilo
Amani iwe ndani mwako nawe
nina zawadi yako,jeupe
"Ua' la' pinki 'kwa" urafiki" wa" kawaida", Ua "jekundu "kwa" mahusiano" ya" kimapenzi," Ua "jeupe" kwa" amani" na" "upendo," Ua" la" njano" kwa" "kusaidiana "kimaisha," Ua" la" blue" ni" "kupongezana" na "kufurahi". Je "unadhani" ww" kutoka" moyoni" "utanipa" ua" la" rangi "gani?
CC
Smile
Mamndenyi
FaizaFoxy
Mwali
King'asti
wana CC